Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nani kusema wamekubali kulipa !? Au Jemedari amewaambia mumpigie debe, ngoma bado mbichi na siyo ajabu Tanzania ikatakiwa kuwalipa fidia. Watalipa kwa base ipi labda !?
9 Reactions
122 Replies
12K Views
habari wana jamvi, kutokana na kutokuwa na Forum ya Mkoa wa Singida, binafdi nimeona tukutane hapa ili kujuzana maswala mbalimbali yanayohusu mkoa wa Singida na tuweze kujadiliana na kuusaidia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani kuanzia jumatatu wiki ijayo naanza kutoa kozi maalumu ya kuishi bila mke/mme wako pindi yupo dodoma...ili husipatwe na msongo wa mawazo...kozi ni ya wiki 4. Karibuni wote.
0 Reactions
0 Replies
782 Views
WanaJF, Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili. Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU". Nimeona kwa wabunge wengine...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Nilishawahi fanya internship pale Mbeya Referral Hospital, ambayo sasa wanaiita Southern Highlands Zonal Referral Hospital au Mbeya Zonal Referral Hospital. Hii ni hospitali ya pili kubwa ya...
1 Reactions
2 Replies
46K Views
_Jioni hii nimekuwa nikitafakari juu ya mambo ambayo yahitaji wepesi wa wananchi kuyakabili na kuyaondosha, swala moja linaloniacha na alama ya kuuliza ni wepesi wa nchi yetu kwenye kuyakabili...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
..kwa jinsi wanavyomchukia angekuwa ametenda kosa lazima wangemburuta mahakamani. ..au wangekuta ktk mawasiliano yake kuna jambo baya la kumdhalilisha lazima wangelitoa hadharani. ..kama...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Linus Pauling: High dose vitamin C is a cure for cancer, AIDS and heart disease! Andrew Saul - High Dose Vitamin C Therapy for Major Diseases
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Watatu wamekufa na 24 kujeruhiwa baada ya basi la Hamandos kutoka Haydom kwenda Mbulu mjini kutumbukia mtoni. ------- Watu watatu wamefariki dunia na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya basi...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Idara ya uhamiaji nchini inawashikilia watu watano wakiwemo Afisa polisi mstaafu na mtumishi wa halmashauri ya jiji mstaafu wakiwa na nyaraka mbalimbali za serikali za kugushi na mihuri 50 tofauti...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF habari za jion! Tafadhali wenye uzoefu naomba msaada wa mawazo, nahitaji kununua gari dogo lenye mwonekano mzuri, nataka kuagiza nje, nina bajeti ya m. 6. Naomba mawazo ya aina ya...
2 Reactions
112 Replies
33K Views
Mpenzi msomaji,ikiwa ni wiki sasa nipo kikazi Arusha,mkoa wenye baridi na utulivu swadakta kabisa kama ujuavyo ''Tembea uone" nimegundua ya kua 1. Sio kila sehemu za kutembea kwa maringo kama...
10 Reactions
122 Replies
23K Views
Which is better? To be a rich or successful
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amerejea katika kikao cha kamati ya fedha kwa mara ya kwanza tangu aende gerezani karibu miezi 8 iliyopita na kuvuruga hali ya hewa. Katika kikao hicho...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo nmekuja hapa aisee imebadilika Sana miaka ya nyuma nilisoma chuo cha dodoma aisee leo nmekuja hapa nipo Club flan watoto wakali mbaya
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Toka ijumaa jioni niko hapa,nina mgonjwa wa ajali, Jambo la kustaajabisha hospital in hapa: 1:Dawa (japo dawa baridi tu)kama panadol,paracetamol n.k hakuna hata kwa kununua kwenye Duka la...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Habar zenu Wadau!!,Mimi ni mjasiliamali mdogo*2, ninajishughulisha na ushonaji nguo kwa kutumia mashine za cherehani.. Kutoka na sera ya serikali ya* TANZANIA YA VIWANDA*.. Nimeona nipate mawazo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye picha na details kwenye hiyo driving licence anatafutwa na police kwa kosa la kumwibia mwajiri wake alikuwa ni driver wa gari T401 CCY SCANIA TANKER. Ameuza mafuta yote aliyokuwa amepakia...
1 Reactions
55 Replies
12K Views
Upumbavu wa wanasiasa wengi ni kufikiri kwamba wao ndo wanaakili na kujua mambo kuliko viongozi walio madarakani. Na mmoja wa hao ni huyu zero brain Zitto Kabwe Nchi yenye wasomi sampuli ya mhe...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom