Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
Habari wakuu,
Mvurugo wangu ni huu hapa...Hivi mfano ikatokea mtoto amefikisha umri wa mwaka mmoja toka kuzaliwa eneo fulani labda tuseme Dar (Ubungo) kisha ukamuamisha ukampeleka Mara(Majita) ndani ndani huko ambapo lugha wanayozungumza ni tofauti na ile ya Dar,nako huko akae mwaka mmoja.
Baada ya hapo unamuamisha unampeleka Mbeya(Umalila) ndani ndani kabisa ambapo wanazungumza lugha yao nako huko akae mwaka mmoja.
Baadae unampeleka Arusha(Umasaini) alafu akae miezi mitatu alafu unampeleka Dodoma(ndani ndani huko) n.k...
Je, kwa mvurugo huo mtoto anaweza kufika miaka 7 au zaidi hajui kuongea kwa sababu ya kumuhamishahamisha?