Zitto Kabwe anena haya kuhusu suala la madini

Zitto Kabwe anena haya kuhusu suala la madini

BAKOI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Posts
1,211
Reaction score
2,330
Vita halali ya kupigania utajiri wa Nchi ikiongozwa na Jemedari mwenye MAARIFA NUSU, anayeshauriwa na makamanda wenye ELIMU NUSU na kushangiliwa na wanasiasa Mazwazwa Kwa kutumia uongo wa dhahiri ni vita ya kushindwa.

Vita halali ya kupigania rasilimali za Nchi inapaswa kuongozwa Kwa kutumia akili. Bahati mbaya Sana, kwenye nchi inayolea na kuendekeza ujinga, kuwa na akili ni uadui Kwa jamii, na ni hatari.

Linex Sunday Mjeda alipata kuimba " mwehu anapochoma nyumba ili aote moto ".
 
HUYU ZITTO SINA IMANI NAE KWA SASA.HATA ASEME LIPI
 
sawa tumemsikia, hoja yake inaleta mantiki ingawa na yeye ni mnafki
 
Eti anataka tuamini kua yeye ndiye mwenye akili Tanzania nzima....ni jambo baya sana kuwa na kiongozi wa namna hii...
 
Akili za zzk = na wabunge 20 wa chadema,na =na wabunge 50 wa cccm
 
Vita halali ya kupigania utajiri wa Nchi ikiongozwa na Jemedari mwenye MAARIFA NUSU, anayeshauriwa na makamanda wenye ELIMU NUSU na kushangiliwa na wanasiasa Mazwazwa Kwa kutumia uongo wa dhahiri ni vita ya kushindwa.
Vita halali ya kupigania rasilimali za Nchi inapaswa kuongozwa Kwa kutumia akili. Bahati mbaya Sana, kwenye nchi inayolea na kuendekeza ujinga, kuwa na akili ni uadui Kwa jamii, na ni hatari.
Linex Sunday Mjeda alipata kuimba " mwehu anapochoma nyumba ili aote moto ".

Well said. Mafisiem wamechoma nyumba ili waote moto (watunze vimada, kueneza ukimwi na kusomesha matoto yao yasiyo na akili nje ya nchi), sasa nyumba imeshawaka wanasingizia upepo umetawanya moto! Wengine wanasema walipewa "order" na mkuu kusaini nyumba iunguzwe kana kwamba wao ni mazuzu hawakujua kuwa kusaini ni kuichoma nyumba! CCM ni janga la Taifa.
 
Back
Top Bottom