Dar-es-salaam jiji la lawama

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,304
2,000
Sijui ukiishi katika jiji hili, ufanyeje kuepuka lawama..!!

Ukiwa Mbunge lawama.
Ukiwa Raisi lawama.
Ukila vizuri lawama..
Ukijulikana umetokea mkoani lawama.
Ukiwa na kazi..ndugu lawama..
Ukiishi bila kazi..lawama
Ukiwa na simu ya bei..lawama
Ukiwasaidia ndugu zako lawama
Ukimsaidia rafiki ndugu lawama.

Jamani naomba wale wanaoishi Dar , endelezeni zile lawama mnazopitia...na msipoendeleza nawapa lawama..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom