Haya jamani mwenye masikio na asikie

Haya jamani mwenye masikio na asikie

Wanaharakati bana huyo Prof. Lumumba utadhani Kenya wakimpa nchi itaipeleka popote vile.
Maneno mengiiiiii na kukosoa sanaaa ila vitendo hakuna..
 
Ntaweza kudownload video JF .wakuu naijitaji hiii.


Hiyo unadownload moja kwa moja youtube. Bonyeza title ya video itakupeleka youtube., then type "ss" mbele ya (www.) in the link ya youtube then utakua umefanikiwa kudownload
 

Hiyo unadownload moja kwa moja youtube. Bonyeza title ya video itakupeleka youtube., then type "ss" mbele ya (www.) in the link ya youtube then utakua umefanikiwa kudownload
Sijaelewa bro..

Yaani iwe ...wwwss.
 
Ukiminya mahala pakucheki Link inakuleta Optio. Tatu differnt but.Copy Link Haippo
 
Ukiminya mahala pakucheki Link inakuleta Optio. Tatu differnt but.Copy Link Haippo


Angalia hiyo picha mahali pa kuype ss baada ya kwenda youtube
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    133.9 KB · Views: 44
Ndio.maana tulikua hatuelewani natumia simu ...na sio kwenye Browser ni App.

sim yako huwezi tumia youtube kwan..?? Tumia bhas njia unayotumiaga kudownload videos youtube
 
Back
Top Bottom