Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba mwenye uelewa wapendwa nyama za kwenye kidole gumba mkono Wa kushoto zinanicheza tangu Jana yaani kama kupumzika ni kaa mda mfupi tu
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa muda sasa nilikuwa natilia mashaka ukweli kuhusu huduma ya Jaza Ujazwe ya kampuni ya simu ya Tigo.Jana nikakamia nikasema,lazima nihakikishe kama wanachosema ni kweli.Alas!It is all lies...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Serikali ya Ujerumani imetenga mafungu mawili ya misaada(grants) yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 35 kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mheshimiwa Egon Kochake ambaye ni Balozi wa Ujerumani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Same. Police in collaboration with the Drugs Control and Enforcement Authority (DCEA) have destroyed 48 acres of khat which were grown in three villages of Same District, in Kilimanjaro Region...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Lipo mkoni NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe Kwa mawasiliano nipigie 0764426929,0655726920 au 0742188846 Miti iliyopandwa ni crutus ( mlingoti) unafaa kwa milunda,mbao pamoja na nguzo za umeme Shamba...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tunaambiwa; hivi karibuni, zaidi ya dola za Kimarekani 120 milioni (taarifa nyingine zinataja dola 250 milioni), sawa na zaidi ya 194bn/=, zimechotwa kinyemela kwa ushirikiano kati ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna kodi mpya ya majengo imeanzishwa kwa nyumba hata zile ambazo zimejengwa sehemu zisizopimwa. Hii imekaaje kisheria, maana lazima tutii sheria bila shuruti. Kodi hii iko kisheria? Mpaka sasa...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Jicho langu la tatu na la nne limeona mbali. Taasisi hii imeshika kasi na meno yake yanauma hasaa. Kuanzia ishu ya bandari hadi IPTL kweli mimi binafsi ninaridhika kiasi woga wa rushwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ujenzi wa SGR hapa mwanza hautawaacha salama wakati wa mkuyuni hadi Voil ,naona hapa hapa sehemu ya kiwanda cha kusindika samaki cha Bahari Bounty washaezua paa la ghala Lao na maandalizi ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Sakata la Escro limeitikisa serikali pamoja na kujidai pesa husika hazikuwa za serikali. Mawaziri na mwanasheria mkuu wamepoteza nyadhifa zao kutokana na kashfa hiyo. Baadhi ya watendaji nao...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwanini Konokono (Snail) hasa wale ambao hawana gamba kwa juu wakimwagiwa chumvi wanayeyuka? Ni Reaction gani hii?
3 Reactions
188 Replies
44K Views
Mkazi Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania akichagua kuku kwa ajili ya mandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr ikiwa ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Hivi sasa bei ya kuku wa...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
-Uhuru wa Habari ni dhana yenye misingi yake kifalsafa hadi kisheria; -Kuna kosa au dhambi ya karne kwa wanaharakati wengi wanaopigania haki kutoielewa vyema dhana hii vyema na ndio leo tunasikia...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Pamoja na jitihada kubwa za madaktari wetu za kuokoa maisha ya watu kila siku. Na pia jeshi la polisi kwa kulinda raia na mali zao. Nawapongeza wote kwa kazi nzuri wanazofanya kila siku. Lakini...
0 Reactions
3 Replies
844 Views
TFDA imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa mitandaoni. Hatua hii imekuja baada ya kuhoji juu ya huu mchele...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wadau Ninaona kutokana na hali ya kiuchumi,mahitaji ya chakula,ufinyu wa maeneo kutokana na ongezeko la RAIA na shughuli za kibinadamu ninashauri magereza hizo zitengewe maeneo...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Salaam wakuu. Hali ya hewa mtaani ni mbaya sana kimazingira. Global warming imechafua uoto wa asili, wanyama porini wanakufa kutokana na ukosefu wa malisho na maji. Hali inatisha. Hatuna uhakika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wadau Ninaona kutokana na hali ya kiuchumi,mahitaji ya chakula,ufinyu wa maeneo kutokana na ongezeko la RAIA na shughuli za kibinadamu ninashauri magereza hizo zitengewe maeneo...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Naomba kuwasilisha nilichosoma kwenye gazeti la nipashe ijumaa ya kwamba serikali imepitisha mpango huo mnamo April 2017. Maswali. 1. Je kuna mantiki gani kufanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…