Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
 
Natamani kujaribu lakini nahofia kupata dhambi
 
Back
Top Bottom