Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanafungulia mikwaya yao.. Sasa hv saa tano na nusu.. Mtaa mzima makelele usiku wote huu.. Watu tumechoka tunashindwa kulala.. Hivi imani zenu kwann mnalazimisha na wengine...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tume ya maadili ya utumishi wa umma ipo chini ya ofisi ya Raisi ambapo inaongozwa na kamishna wa tume ya maadili ya viongozi wa umma Kimuundo kunakua na makatibu wakuu wawili mmoja akihusika na...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Ya kwanza ni ya Mbunge Tundu Lissu (CHADEMA): Ya pili ni ya Mbunge Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo): Ya tatu ni ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo na Wabunge wengine kwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hekaheka ya leo June 19, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea Sinza DSM ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa kiume wa jirani yake mwenye umri wa miaka minne akidai...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
SERIKALI IKUNE KICHWA TIMU YA KUPAMBANA NA BARRICK Na EVANS MAGEGE, KAMPUNI ya Barrick Gold Corporation kupitia mshirika wake Acacia, imeonekana kutaka kupeleleza ili kuwafahamu watu ambao...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina la Kasian ameingia matatani baada ya chakula kunaswa kwenye baa yake muda wa mchana na anatarajiwa kupandishwa mahakamani Zanzibar serikali imekataza kwa...
4 Reactions
116 Replies
10K Views
PAWAGA lini uliambiwa "live in peace?". Niamini siku ukifariki zitakuwa Rest in peace nyingine sana!!!". Hayo yalikuwa ni maneno ya mzee LUKOSI wa Kalenga. Ni mzee maarufu sana but very unique na...
0 Reactions
7 Replies
932 Views
picha hii imetawala magazeti mengi leo hii..
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tume ya maadili ya utumishi wa umma ipo chini ya ofisi ya Raisi ambapo inaongozwa na kamishna wa tume ya maadili ya viongozi wa umma Kimuundo kunakua na makatibu wakuu wawili mmoja akihusika na...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Salaam wana JF Naomba kuuliza hivi nchi yetu hii ina dira yoyote ya maendeleo ambayo inaendelezwa na viongozi? Manake kila rais wa nchi hii akiingia madarakani anakuja na Sera na dira zake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wakazi wa Tanga jiji naomba kujua ziliko ofisi za SACCOS! Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu wote. Nilipokuwa mdogo na hata wakati nasoma sekondari,nilipata kusikia kuwa kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa huwa hawaishi muda mrefu,mara baada ya kumaliza kukimbiza...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Poleni wanaJF wote kwa shughuli za kila siku. Niende kwenye mada mojakwamoja:- Naomba kupata msaada wa kisheria wa mambo yafuatayo:- 1. Ni vigezo gani hutumika ili mwanaume na mwanamke waweze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mwizi anagawa fedha za wizi hadharani? Hii ilikuwa machi mbona haikusemwa wakati huo lakini leo watu wanatoa mapovu kana kwamba ndio mara ya kwanza kusikia michango mikubwa? MZEE JAMES...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Wana JF nimegundua kuwa serikali ilishtuka kuwa sio rahisi TRA kukusanya Road Licence kwenye magari yote yaliomo nchini maana wengine ni wadaiwa sugu na wakwepaji wa miaka hivyo kuamua kuiingiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mwenye uelewa wapendwa nyama za kwenye kidole gumba mkono Wa kushoto zinanicheza tangu Jana yaani kama kupumzika ni kaa mda mfupi tu
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa muda sasa nilikuwa natilia mashaka ukweli kuhusu huduma ya Jaza Ujazwe ya kampuni ya simu ya Tigo.Jana nikakamia nikasema,lazima nihakikishe kama wanachosema ni kweli.Alas!It is all lies...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Serikali ya Ujerumani imetenga mafungu mawili ya misaada(grants) yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 35 kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mheshimiwa Egon Kochake ambaye ni Balozi wa Ujerumani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Same. Police in collaboration with the Drugs Control and Enforcement Authority (DCEA) have destroyed 48 acres of khat which were grown in three villages of Same District, in Kilimanjaro Region...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom