Drink beers to save water . Kunywa beer kutunza maji

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,313
2,000
Salaam wakuu.

Hali ya hewa mtaani ni mbaya sana kimazingira. Global warming imechafua uoto wa asili, wanyama porini wanakufa kutokana na ukosefu wa malisho na maji. Hali inatisha. Hatuna uhakika wa kunywa maji kama tulsivyo na uhakika wa kupata milo 3 kwa siku ya kiwango cha kawaida.

Wamaa mtaani hasa vijijini wanaamka usiku kufwata maji umbali mrefu huku wakiwa wamebeba watoto mgongoni. Hatari sana.

Visima vya kuchimbwa kwa mkono huko vijijini ni virefu sana kama mahandaki. Wamama wanazama huko chini kusaka maji, maji yasiyokuwa safi na salama huku wakitumia muda mwingi sana.

Tunywe beer ili kutunza maji, tusinywe maji sana kama tembo. Tunywe maji kidogo lakini beer tunywe sana ili kukata kiu na kuyatunza maji yetu ambayo huko mbeleni ni hali mbaya sana tofauti na tuliko sasa.

Ni hayo tu.

DRINK BEERS TO SAVE WATER
 

Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,134
2,000
Uko darasa la ngapi wewe na nani amekuruhusu kutumia simu ya mama? Ongezeko la joto huyeyusha theluji vileleni mwa milima na Antarctica na kupelekea kina cha maji baharini kuongezeka. Usiangalie sana ISIDINGO inapotosha sana watoto.
 

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,945
2,000
Kwani hiyo beer inatengenezwa bila maji? Unajua kuna percent ya maji kiasi gani katika kila beer.
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,419
2,000
Ujinga huu..

Hizo bia zinatengenezwa na mkojo?

Unajua maji yanatumika kiasi gani kwenye kuzalisha bia?

Maji yanayotumika kusafisha hizo ngano, shayiri, kupooza mitambo na kufanya usafi ni mengi sana kuliko hizo bia zinazozalishwa.

Acha kuwalisha ujinga wenzako..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom