Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wana JF, Jameni kama Kichwa cha uzi kinavyojieleza, mimi ni kijana ambae nina ndoto nyingi tu za maisha na Mungu akisaidia nitazitimiza. Juzi kati nilipewa zawadi na rafiki yangu...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Maamuzi mkongwe na muda mrefu Ahamed Manyema ametutoka leo ktk Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mwananyamala. Msiba upo Makutano Mabibo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam. Taarifa za kifo...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Katika hali ya kawaida na elimu ya Tanzania imenishangaza moja ya habari kutoka mkoa Arusha kuwa binti wa miaka 16 eti kidato cha sita kuna FFU mmoja kambaka, sitaki kuongelea kuhusu kubakwa na...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:- 1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852. 2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na...
7 Reactions
48 Replies
11K Views
Somo tajwa hapo juu lahusika. Twende kazi 1. Kwenda na kuni, maji, miti kwa ajili ya kufungia miti ya mizabibu 2. Kwenda shule na kinyesi cha ng'ombe kwa ajili ya kutandaza chini ili kupiga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia. wamentumia hadi nyaraka za uhalali...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, kumekuwa na uvumi wa mchele feki au mchele wa plastiki. Na moja ya njia iliyosambaa ya kugundua mchele huo ni kuudundisha. Sasa leo na mimi nkasema wacha nijaribu kudundisha...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nipo nimelala lakini ghafla nimeamushwa na ngoma karibia na dirisha watu wanapiga ngoma huku wanaimba na hii imekuwa kawaida hasa kipindi hiki cha mfungo kwa ndugu zangu waislamu hamuoni kuwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mkandarasi Steven Roadworks au kwelukila ametumbukia katika mto Rutamba baada ya mtumbwi kupinduka mmoja kaokoka akiwa hai Kwelukila name mwenzake hawajapatikana bado .Tuwaombee
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu wa jamvi naomba msaada kwa mtu anaejua,Kuna taasisi inauza huu MKAA mbadala Wana uita MKAA MKOMBOZI. Kama wanaweza wakasoma uzi huu tunaomba waache uboya wafanye biashara kisasa how come...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Asilimia karibu hamsin ya Wa South Afrika wanaishi kwenye limbwi la umaskini., asilimia iliyobaki ni matajir wa kizungu na familia Chache za ki Afrika. Umaskini uliokubuhu duniani unatajwa kwenye...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF Leo ikiwa siku ya kina baba duniani imenifanya nikumbuke siku ambayo mshua alinipa hela ninue baadhi ya vifaa vya ujenzi kwenye maduka aliyokuwa amenielekeza kwa sababu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello Gentleman and ladies, nimeona gari ambayo nimeipenda nataka kuinunua, Naombeni msaada wenu kwa wale ndugu zangu wapendwa wanaoishi The United kingdom wanisaidie kuniepusha na kuingia choo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nilisikia Mkuu Kagame anataka kutupatia Wataalamu wa Information Technology na Mambo ya Computer Science kwa nia ya kuzidi Kuamsha Hamasa Juu ya Viwanda na sisi tumpe wataalamu wa Kiswahili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa kisemavyo naombeni kujua kuhusu efatha maana kuna jirani Yangu ananitaka nikasali huko nashindw kukubali kwani sijui misigi yake pia maana ya Efhata na ukweli wa imani husika Sina...
0 Reactions
86 Replies
16K Views
Ukitaka kuonekana wewe ni mzalendo inabidi umshangilie Rais wetu kwa kila Atakacokisema au kukifanya. Ukitaka kuonekana msaliti Fanya viceversa.
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kijana mmoja,Graduate ana hekari kadhaa za shamba pale Morogoro, analima na kupeleka mazao yake moja kwa moja sokoni. Ana supply chakula kwa vijana wanaolalamika kila kukicha CCM imesababisha...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanafunzi takribani 67 wameteseka kwa kukosa mkopo muhula huu mpaka sasa wakipigwa dana dana za hapa na pale kutoka kwenye uongozi wa chuo na bodi ya mkopo kutokana na janga hilo imewalazimu kutoa...
1 Reactions
2 Replies
983 Views
Wadau, Mimi ni mteja wa Vodacom na kutokana na Biashara zangu z Hapa na pale hua nafanya pia Biashara na Kenya na mara nyingi natumiaga M-pesa kutuma hela Kenya kisha natumiwa Bidhaa. Nimefanya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom