figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
TFDA imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa mitandaoni.
Hatua hii imekuja baada ya kuhoji juu ya huu mchele unaodunda kama kitenesi. Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa
Nashauri tuwape ushirikiano shirika letu pendwa pia tuwaelekeze waanzie wapi.
Ningefurahi kama wangetoa mawasiliano ya hiyo tume ili tuwaelekeze pa kuanzia. Asante sana Kwa usikivu wa TFDA. Na wengine waige mfano huo sio kila siku kudharau mitandao ya Kijamii.