Ma Kwasasa Magereza zitengewe maeneo ya uzalishaji

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,465
2,000
Habari ya muda huu wadau
Ninaona kutokana na hali ya kiuchumi,mahitaji ya chakula,ufinyu wa maeneo kutokana na ongezeko la RAIA na shughuli za kibinadamu ninashauri magereza hizo zitengewe maeneo ya uzalishaji pembezoni mwa mini

Maeneo hayo yatasaidia katika kilimo cha mazao,miti ya matunda na mbogamboga,ufugaji wa mifugo kama ng'ombe,mabwawa ya samaki,kuku nk
Hata hii itachangia kulifanya jeshi la magereza na wafungwa kujitegemea kwa chakula na kuzigawia taasisi nyingine kama hospitali na vituo vya watoto yatima na wazee wasiojiweza
Ili kuhakikisha zoezihilo linafanikiwa yakishatengwa maeneo vipelekwe vitendea kazi kama matrekta,mbolea na mbegu za kisasa
Lengo nikuzifanya magereza zote nchini zijitegemee
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,084
2,000
wazo zuri ila tatizo bado wanakimbizana na wapinzani, ngoja wamalize tutawakumbusha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom