Kuelekea Eid: Bei ya kuku yafika shilingi 30,000

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
FB_IMG_1497852573219.jpg
Mkazi Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania akichagua kuku kwa ajili ya mandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr ikiwa ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Hivi sasa bei ya kuku wa kienyeji imepanda kufikia shilingi 30,000 kwa jogoo.

Chanzo: DW Kiswahili
 
Kwani hiyo Sikukuu ya Eid ni lini?

Unanunua kuku leo hadi ifike si anaweza akakufia kwa kideri.

Mkazi Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania akichagua kuku kwa ajili ya mandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr ikiwa ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Hivi sasa bei ya kuku wa kienyeji imepanda kufikia shilingi 30,000 kwa jogoo.

Chanzo: DW Kiswahili
 
Sema bei hizi kupanda na kushuka haziwanufaishi wafugaji sanasana madalali na wauzaji wa mwisho.
 
UNUNUE KUKU LEO MPAKA IDD SI KUKU ATAKUFA KWA MAWAZO MAANA KILA KUKICHA ANAJUA LEO NDO LEO
 
Hiyo bei kwani lazima tule kuku?hata samaki kitoweo tu,tukikosa sana tutakula mchicha badala ya kuchuma thawabu mnataka kuchuma dhambi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom