Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam, Wakuu naomba kujua kama iko "Professional Board" ya wataalamu wa ICT kama ilivyo NBAA au PSPTB au chuo ambacho mtu anaweza kusoma kwa kuanza na Foundation stage kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vijiji vya ujamaa, adha yake wanaijua babu zangu watanzania, na kwa vile hatukua tumesign ule mkataba wa ICC, basi imebaki ni historia ya machozi, jasho na damu. Ni mfumo ilioambatana na uvunjaji...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kituoo cha kariakooo msimbazi kumejaa wananchii hakuna basis inayosimama na hats ikipita unaona baada ya nusu saaa Wah wa DART kuna mgomO??ama mmepunguza mabasi manager toka ofisini njoo kituoni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
2 Reactions
35 Replies
4K Views
NAMNA YA KUANZISHA MRADI i>>Ukishapata mtaji tulia na omba ushauri kwa wazoefu juu ya mradi wako-uwe makini na watu utakaowaomba ushauri. ii>>Fanya utafiti wa kutosha kuhusu mradi wako,mfano...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Ndugu mpendwa mwajiriwa, Nakusalimu kwa salamu za kiuchumi. Sina chai ya kuuza leo, bali ninaenda chapchap kwenye points na kiini cha waraka wangu. TWENDE... Naomba unitajie mtu yeyote...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasallam wakuu..! Pamoja na uharifu uliotokea au unaondelea kutokea Mkoa wa Pwani hasa maeneo ya Kibiti na Ikwiriri kwa kuuwawa Watanzania wenzetu, lakini kinachoendelea sasa hivi si haki na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Awali ya yote nianze kwa kusema sijawahi kushabikia chama chochote cha siasa bali nashabikia hoja za wanasiasa bila kujali itikadi zao Naomba nijikite kwenye mada ya leo kwa ufupi. Nimekua...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Salam wakuu. Wakati tunatafakari juu ya ripoti za makinikia na kamati tarajiwa ya makubaliano dhidi ya mtifuano huo, tujikumbushe hili swala la wanafunzi wa shule za msingi kuwalimia waalimu...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Walinzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wamemnasa mtu mmoja ambaye inadaiwa amekuwa akijifanya daktari na kuwarubuni wagonjwa. Walinzi wa hospitalini hapo walikuwa wakimfuatilia kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Early this year, when president Magufuli declared a ban on mineral concentrates export, very few people took this cautiously. Only Acacia reacted to the order. No one ever expected a matter to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu... Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa Asanten
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Unajua kuongoza familia ni kazi kubwa saana hasa familia ambayo watoto wamesoma kukushinda mzazi. Baba tulie nae sisi ni kama alitamani kuwa baba wa familia matokeo yake baada ya kuwa baba...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Heshima yenu wakuu... Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa Asanten
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu wiki Zilizopita Kumetembea Video Inayoonyesha Utengenezwaji wa Mchele Feki na Inasemekana Teyari Umeshaingia Katika Masoko yetu ya Kila Siku na Kuna Video Nyingine Inayoonyesha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati mwingine unaweza kujiuliza tu kwanini serikali labda isichapishe noti nyingi tu za fedha ikapata mahela kibao tu ikaanza kuwalipa wafanyakazi wake mamilioni na pia yenyewe ika tengeneza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
I have spent quite some time in Tanzania: Dar, Mwanza and Arusha and i have interacted with so many Tanzanians. I have also been able to interact with so many of them on social media and i have...
16 Reactions
253 Replies
39K Views
Habari wana JF! Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa siku hii ya leo ambao inaelekea kukatika hivyo na kuja siku nyingine! Pili naomba kwenda kwa point yangu! 1; zoezi la kujiandikisha kwa...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Naomba ujitasmini kisha toa jibu kutoka ndani ya uvungu wa moyo wako Kazi njema
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tulikuwa mahala tunaangalia mashujaa wetu wa mpira wa miguu umri chini ya miaka 17 dhidi ya Mali Kuna vitu tumejikuta tunatafakari. Pamoja na kiwango kikubwa walichoonyesha kupambana na mabingwa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom