Utapeli zaidi wa Tigo huu hapa

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
16,289
21,372
Kwa muda sasa nilikuwa natilia mashaka ukweli kuhusu huduma ya Jaza Ujazwe ya kampuni ya simu ya Tigo.Jana nikakamia nikasema,lazima nihakikishe kama wanachosema ni kweli.Alas!It is all lies.

Baada ya kununua vocha yangu ya 1,000 nikajiunga na halichachi, nikaambiwa nitatumia YouTube bure kuanzia saa sita usiku mpaka sasa 12 asubuhi.Hii ilikuwa saa tisa jana. Kumbuka nina halichachi MB 150.Ilipofika saa sita nikaanza kutumia You Tube nikijua ni bure. Ghafla mtandao ukakata,kuangalia balance naambiwa nina MB 295 za YouTube tuu ikiwa na maana halichachi wamekomba!Nikaongeza halichachi MB 150 nikaendelea na YouTube,kuangalia balance halichachi inayoyoma, balance ya YouTube iko pale pale MB 295!Whooo,ajabu sana.Kumbe jamaa hata hiyo YouTube wanapima sio bure kuanzia saa sita mpaka asubuhi,halafu hata hizo MB wanazokupimia hawazitumii wanatumia za kwako!Utapeli mkubwaJamaa wanajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.TCRA mpo?
 
Mimi tigo nishatemana nao kitambo sana.

Wamenifanyia uhuni hadi TIGO pesa nimeamua niwaache tu hata siwafuatilii
 
Weziiiiiiiii sana maana mm nilinunua mb za kawaida nikanunua na strimika za youtube lakini cjaelewa walizitafuna vp qakati hata cjaangalia yaan kweli tcra waviangalie hivi vifurushi
 
Hawa Jamaa wa tigo ni wezi sana tena washenzi kabisa ...nilinunua Mb za kawaida na nikanunua dakika zile za jero, na sikutumia kabisa asubuhi naamka hamna kitu wezi sana hawa! Nimeamua kwenda kusajili mtandao mwingine na kuwahama mijizi hii! alfu TCRA Wapo kimya kila Mara watu wamekuwa wakitoa malalamiko juu ya tigo
 
Pole sana mkuu, mimi niliwakimbia tangu kipindi kile wapunguze MBs...nimeiweka hewani tu kwa ajili ya kupigiwa tu
 
Kwa muda sasa nilikuwa natilia mashaka ukweli kuhusu huduma ya Jaza Ujazwe ya kampuni ya simu ya Tigo.Jana nikakamia nikasema,lazima nihakikishe kama wanachosema ni kweli.Alas!It is all lies.

Baada ya kununua vocha yangu ya 1,000 nikajiunga na halichachi, nikaambiwa nitatumia YouTube bure kuanzia saa sita usiku mpaka sasa 12 asubuhi.Hii ilikuwa saa tisa jana. Kumbuka nina halichachi MB 150.Ilipofika saa sita nikaanza kutumia You Tube nikijua ni bure. Ghafla mtandao ukakata,kuangalia balance naambiwa nina MB 295 za YouTube tuu ikiwa na maana halichachi wamekomba!Nikaongeza halichachi MB 150 nikaendelea na YouTube,kuangalia balance halichachi inayoyoma, balance ya YouTube iko pale pale MB 295!Whooo,ajabu sana.Kumbe jamaa hata hiyo YouTube wanapima sio bure kuanzia saa sita mpaka asubuhi,halafu hata hizo MB wanazokupimia hawazitumii wanatumia za kwako!Utapeli mkubwaJamaa wanajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.TCRA mpo?
Nilidhani hilo naliona mimi tu,hao Tigo Mbs zao za Jaza Ujazwe ni hewa tupu hamna wanachokuekea ni utapeli unkua unatumia zilezile ulizonunua,TCRA sijui wanasimamia nn??
 
Baada ya kukosea namba ya kutuma tigo pesa wakanizungusha miez miwil kisa tu ni 40k sasa nmewakopa imefika 95k na sijawalipa mwez wa saba huu nyambafuuuu... Ndo dawa yao
 
Kwa muda sasa nilikuwa natilia mashaka ukweli kuhusu huduma ya Jaza Ujazwe ya kampuni ya simu ya Tigo.Jana nikakamia nikasema,lazima nihakikishe kama wanachosema ni kweli.Alas!It is all lies.

Baada ya kununua vocha yangu ya 1,000 nikajiunga na halichachi, nikaambiwa nitatumia YouTube bure kuanzia saa sita usiku mpaka sasa 12 asubuhi.Hii ilikuwa saa tisa jana. Kumbuka nina halichachi MB 150.Ilipofika saa sita nikaanza kutumia You Tube nikijua ni bure. Ghafla mtandao ukakata,kuangalia balance naambiwa nina MB 295 za YouTube tuu ikiwa na maana halichachi wamekomba!Nikaongeza halichachi MB 150 nikaendelea na YouTube,kuangalia balance halichachi inayoyoma, balance ya YouTube iko pale pale MB 295!Whooo,ajabu sana.Kumbe jamaa hata hiyo YouTube wanapima sio bure kuanzia saa sita mpaka asubuhi,halafu hata hizo MB wanazokupimia hawazitumii wanatumia za kwako!Utapeli mkubwaJamaa wanajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.TCRA mpo?

Sehemu tunaibiwa ni pamoja na kwenye mitandao ya simu.

TCRA wapo wapo tu hadi siku Rais aseme ndio wataamka.
 
Hawa Tigo kuna Kifurushi wanacho cha Whatsapp na FB. Wanakupa 3GB kwa mwezi kwa sh 2000. Maajabu ni kuwa ukidownload au kustream fb video, wanatumia Halichachi lako. Wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom