Shamba lenye Miti linauzwa milion 3

gwivaha

Member
Apr 29, 2017
47
95
IMG-20170616-WA0003.jpg

Lipo mkoni NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe
Kwa mawasiliano nipigie 0764426929,0655726920 au 0742188846
Miti iliyopandwa ni crutus ( mlingoti) unafaa kwa milunda,mbao pamoja na nguzo za umeme
Shamba linauzwa pamoja na ardhi
 

Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
652
500
Miti ilisha kosea ni vyembamba.hamku prune matawi wakati vidogo..vikakosa mwanga .iti ikawa inakua kushindana kupata mwanga
 

Mchanya

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
788
1,000
Shamba lenye miti maana yake kuna miti na mazao mengine, shamba la miti maana yake ni miti tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom