Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii LAZIMA ITAKUKUWA PHOTOSHOP
2 Reactions
83 Replies
9K Views
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed 10 new judges to be stationed at the High Court of Tanzania. A statement released today by the Acting Chief Secretary, Mr George Yambesi, revealed that the...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wataalamu wa afya wameweza kuelezea mambo mabali mbali yanayoweza kuchangia mtu yeyote kupata watoto mapacha. Mbali na hilo kuna aina ya wanawake...
1 Reactions
3 Replies
20K Views
Huu ni wajibu wao, kwani wanalipwa kufanya kazi hizi.National Bureau of Statistics watueleze mapema kabisa kwamba ni vijana wangapi wanaopoteza nguvu kazi kwenye betting, itasaidia serikali kuweza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt.Amini Uronu yachomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, Tumaini Uronu mtoto wa Dkt.Amini athibitisha. "Mzee na Mama wote wamelazwa...
2 Reactions
103 Replies
13K Views
MCHAWI AKAMATWA DAR NA KUUAWA LIVE BAADA YA KUDONDOKA NA UNGO December 23, 2013 WANANCHI wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya...
4 Reactions
168 Replies
53K Views
Mishipa yote ya damu kwenye mwili wa mwandamu kama ingepangwa katika mstari mmoja, inaweza kufukia urefu wa maili 60,000. Hii ni sawa na kilometa takribani 96,000. ............. ZABURI 139:14...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ubora wa mwanafunzi upo kwenye ubongo wake na si kwenye vyeti vyake,Ajira ya graduate ipo kichwani kwake na sio serikali yake. Mwanachuo aliyesomea cheti anaweza kununua smart phone yenye...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwa ndani ya Mwendo Kasi maeneo ya Mahakama niliona wazee wa EAC Mulioko maeneo hayo tujuzeni kama wazee wetu hao wamepewa haki yao leo baada ya 40 yrs.
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Wanajamvi naombeni msaada wa kufikisha malalamiko yangu kwa wakuu hawa, kutokana na kitendo cha kinyama kilichofanywa na Afisa elimu S/M. Mke wangu amekuwa akiomba uhamisho toka mwaka 2014...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu habarini za wakati huu, Kuna swali ambalo nimekuwa najiuliza sana na nimekosa jibu na hili nadhani naweza kupata jibu hapa kwenu wakuu maana hapa hakuna kinachoweza kuharibika. Kimsingi...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
Kijana Paulo Ezekiel, amejinyonga kutokana na kile kinachodaiwa ugumu wa maisha. Paulo (17) alikuwa anaishi na wazazi wake Mtaa wa Mazinge Kata ya Ndembezi mjini Shinyanga, alifariki dunia juzi...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari za asubuhi Wahariri, Jukwaa la Wahariri (TEF) litakuwa na Press Conference kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la Mawio itakayofanyika leo kuanzia Saa 05:00 asubuhi katika Hotel ya Sapphire...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Huu ndio ukweli mchungu,wapiga mizinga wengi sio kwamba wana shida sana hapana ila ni mazoea ambayo wamejijengea kuwa maisha yao hayaendi bila mtu fulani ndio maana akikuomba pesa leo ukimpa basi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Benki ya CRDB ndio benki yenye huduma bora Tanzania kuliko benki nyingine yoyote, imeendeleo kuonyesha kuwajali Watanzania ambapo Menejmenti na Wafanyakazi wa CRDB Bank Tawi la Azikiwe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wana Jf!!! Kumekuwepo na hii tabia ya watu kutema mate pale pua zao zinapo kutana na harufu mbaya yoyote ile iwe ya mzoga, gogo (mavi/kinyesi cha mtu mwingine), unapo kunya/ kukojoa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyengine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai. Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini, Bw. Egon Konchake wamezindua rasmi Programu ya kulinda na kuendeleza hifadhi ya Selous(SECAD)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari za Jumapili. Najua mada hii ninayoianzisha nitapata upinzani mkubwa sana na matusi mengi mno. Lakini kabla hamjanitukana nawaomba mfikiri sana na muweke pembeni ushabiki. Ni kwamba...
10 Reactions
95 Replies
7K Views
Wakuu salaam poleni na mihangaiko Ya kutwa Ebhana kuna Mtaalamu anajiita Nana Abubakar kutokea nchini Ghana Ebhana aliniomba urafiki Fb fresh bila hiyana nikamkubalia urafiki ikawa taabu Mara...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom