njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,371
- 976
Jicho langu la tatu na la nne limeona mbali. Taasisi hii imeshika kasi na meno yake yanauma hasaa.
Kuanzia ishu ya bandari hadi IPTL kweli mimi binafsi ninaridhika kiasi woga wa rushwa utaongezeka. Sijajua kasi hii ni kwa sababu na show za Mhe. Magufuli au ni Utendaji wa Boss aliyepo sasa.
Hata hivyo naweza kusema Boss ameonyesha tofauti kubwa na aliyepita. Ni wakati sasa tusaidie kuchangia maeneo ya kuchungulia zaidi ambako rushwa imezidi.
Naanza na Ardhi..mmmh, tutaje maeneo mengine.