Naiomba Serikali iruhusu uhamisho wa watumishi wa umma Serikali za Mitaa

Trapea

Member
Jun 22, 2017
8
45
Imezoeleka serikali chini ya wizara yake ya TAMISEMI kutoa vibali vya uhamisho kila January/July ya kila mwaka.

Cha kusikitisha toka uongozi Mpya wa awamu ya tano uingie madarakani hamna uhamisho wowote uliofanyika Kwa kigezo cha uhakiki wa vyeti feki na watumishi hewa.

Hayo yote tumeyakubali lakini naishauri serikali kuruhusu na kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi waliokidhi vigezo ili kuzuia madhara yafuatayo yasitokee:-

1. Kuvunjika Kwa ndoa
Kwa wanandoa wanaoishi mbalimbali.

2. Maambukizi ya magonjwa mbalimbali hasa HIV
Kutokuruhusu uhamisho Kwa hawa watu kunaweza kusababisha maambukizi ya HIV Kwa wanandoa waishio mbali mbali. Wanaweza kushindwa kuvumilia na mwishowe kwenda kutafuta huduma mbadala( wadada poa, kaka poa)

3. Vifo visivyo Vya lazima
Kuna watu waliomba kuhamia karibu na huduma za hospitali hasa Kwa wale wanaohitaji kuishi karibu na hospitali za rufaa.
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,385
2,000

Hakuna anaweza kuruhusu uhamisho hadi baba mwenye nyumba aamue.

Yaani hadi waziri mwenye dhamana wa hizo mambo nae hajui chochote.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom