Wadau huu mjengo mnauonaje?

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
532
f7fbd6c316620adacf51da8eed9f0327.jpg

Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
 
Inawezekana kama ni nyumba ya ghorofa 1...
Kwani hujawahi kuona ghorofa iliyojengwa kwa miti?
 
f7fbd6c316620adacf51da8eed9f0327.jpg

Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
hujaeleweka,what you want to tell us?
 
Nani kakudanganya kuwa kutumia mbao ni kupunguza gharama??...Mbao zinazotakiwa hapo ni mara mbili ya gharama ya cement
 
Nyumba hizi huwa zinajengwa sehemu zenye baridi kali, maana mbao huwa zinahifadhi joto na maeneo ynayokumbwa na majanga Mara kwa Mara kama tetemeko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom