Watanzania wazalendo tutumie account za twitter kwa wingi

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Ni wakati wa kusimama kuelimishana kuungana tutetee taifa letu katika ulimwengu huu wa teknolojia, watanzania wengi tumenunua simu za kisasa na tumejisajili katika mitandao mingi ya kijamii ili kupata habari mbalimbali ikiwemo burudani siasa nk na mitandao inayotumika sana kwa sasa ni instagrm na facebook binafsi ni mtumiaji mkubwa wa twitter nimeona nchi za jirani zikitushambulia mara kwa mara kwa kutumia hashtag # (kaulimbiu ya kidijitali) ila kwa kuwa sisi tumejazana ig kuangalia mashepu ya kina wema na gigy hatuwezi kujua kinachoendelea duniani kuna mwamdishi nguli wa habari nchi kenya al maarufu kama robert alai ameandika lugha ya kuudhi kwa raisi wetu ukweli ni kwamba kenya kuna ukabila mkubwa sana ila ni wazuri sana kama taifa wanapoingia katika vita ya kimtandao na taifa jingine kama unakumbuka hashtag zao zilizowahi kiutikisha dunia ni [HASHTAG]#someonetellcnn[/HASHTAG] [HASHTAG]#nyingine[/HASHTAG] ilikuwa [HASHTAG]#someonetellsouthafricans[/HASHTAG] [HASHTAG]#someonetellnigerians[/HASHTAG] pia waliwahi kutushambulia miaka ya nyuma kwa hashtag [HASHTAG]#someonetelltanzanians[/HASHTAG].....turudishe heshima ya taifa letu madhaifu yetu yawe yetu tusiwape wabaya wetu nafasi za kutukebehi Mungu ibariki Tanzania
 
Nimeshindwa kuelewa. Kha! bandiko halina koma wala kituo kutoka A mpaka Z, yaani aya nzima! Huko twitter utaandikaje mzee?!?
 
kila taifa watu wana mtandao wanao penda
Kenya na SA wako kwa wingi twitter
Tz wako kwa wingi Instagram
watu wa Afrika magharib wengi wako vimitandao vya ajab ajab kama vile snap chat na mitandao mingineyo

so ni vile watu hupenda wawe wap wala haina haja ya kampen kuwaweka huko
 
Hawa Kenyans Hua nawachukiaga kitambo tu yani ni washamba hadi raisi wao

Nmelipa tayari Mkuu wangu
 
Back
Top Bottom