Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau ninaurudisha tena uzi huu hapa kwenu jamvini huu Ukwepaji kodi wa wazi kabisa unaofanywa na wafanyabiashara wa kariakoo TRA wanahusika? Karibu wafanyabiashara wote kariakoo hawatoi risiti...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna mvuto gani wa ‘ Kutukuka ‘ kwa Wanawake hasa wa mjini huko ‘ Bagamoyo ‘ hadi huwa wanapakimbilia kila Ijumaa jioni na mapema Jumamosi / Jumamosi asubuhi? Nawasilisha.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
1.Tuache kuwa Wanafiki 2.NGO’s zisitumie udhaifu wa Watanzania wengi kujineemesha 3.Wazazi tutekeleze majukumu yetu kiukamilifu 4.Tujikite kuwapa Elimu ya Uzazi Watoto ( Mabinti ) zetu...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
To help your baby sit, move their legs to form a V-shape, which helps them balance. Once they are in this position, place a toy in front of them to play with. Make sure you – and plenty of...
1 Reactions
6 Replies
996 Views
1."Kwa atakaye feli,ajue pakwenda!Elimu bure haiwezi gharamia vilaza" 2."Serikali haitagharamia dawa za ARV,watakaonasa huko wawe na hela ya kununulia hizo dawa" Kama nimewanyima kusoma watoto...
22 Reactions
72 Replies
5K Views
(English version at the bottom) (Tafsiri kwa Kiingereza ipo chini) Mwisho wa mwezi huu, watu watavutwa kuangalia angani jioni upande wa magharibi mara baada ya magharibi kutafuta Mwezi mwandamo...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Mzuqa sana wanaJF. Niko na mood ya hataree mchana huu. Nimeshakabidhiwa kitu cha Arusha muda si mrefu na moja tayari imeshadisapear. Glory to Jah! Moja kwa1 kwenye mada. Mchina amewasaidia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Huu ni wakati mhafaka kwa mawaziri Wa kike na viongozi wote wanawake ktk serikali hii kuonyesha msimamo wenu ktk kuwatetea wanawake wenzenu Kauli ya kikatili isiyo na chembe ya Huruma kwa watoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Utafiti mmoja umefanywa na kugundua kuwa Wale wanandoa au watu walio katika Mahusiano na wamezaa Watoto wao wakiwa na kati ya Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 wamezaa Watoto wasio na uwezo mkubwa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Akizungumza kwenye kituo kimoja cha habari, rapa na msomi huyo amedai kuwa katika eneo la Bulyanghulu pekee kabla ya kuja mwekezaji palikua na wachimbaji wadogo zaidi ya laki tatu wanaojiajiri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefuatilia majadiliano ya mwelekeo wa taifa letu kuhusu halisi kuwa tunakwenda wapi? Nikiwa mwananchi mzalendo napenda nitoe ya moyoni. Taifa letu, ukirejea Katiba yetu linafuata siasa ya ujamaa...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Nawatakia IDD njema watanzania wote!! Lakini huku tukiangalia ni mfumo gani Mzuri hapa kwetu Tanzania ktk kumpa elimu mtoto wa kike ktk mazingira yoyote Yale ambayo anayo...
0 Reactions
5 Replies
792 Views
ITV, Ijumaa 6/23/2002 Je, makandarasi wanaochelewesha ukamilishaji wa miradi ya maji wachukuliwe hatua kwa uzembe? ############################################### Kwa vyombo vya habari kama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi wenu mmekuwa mkiona viatu vimetundikwa juu ya nguzo za umeme. Na wengi huwa mnajiuliza ni kwa nini mtu anachukua kiatu anatundika kwenye wire wa umeme? Jibu ni kuwa iyo ni kama sign post au...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimechunguza kipindi chote hiki, Ukifika muda wa kufuturu kupost humu kunapungua! What is the logical deduction? ........................
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Awamu Hi Cyo Ccm Wala Upinzani Wala Bwenyennye Au Makapuku Wote Tunaisoma Namba
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wanaofanya mauaji ni wazawa wa maeneo husika ambao walichukuliwa kwenda kwenye mafunzo huku wazazi wakiahidiwa chochote,, na kwa UMASIKINI uliopo maeneo hayo ni ngumu kwa wazazi hao kutaja watoto wao.
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Back
Top Bottom