Bendera ya korea kwenye taarifa ya habari TBC ni ya nini?

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Yaani television ya taifa mmekosa kabisa ubunifu mpaka taarifa ya habari mnaweka jengo la jubilee towers ambalo lina ubalozi wa korea kusini na kuifanya ile bendera ionekane kana kwamba mnai promote ndugu yangu Ryoba TBC inakufia
d86e246f84df04bfe11203fc70d417ca.jpg
 
Nikweli kabisa mfano kipindi cha jambo hasubuhi utaiona bendera kwenye jengo namm huwa nashangaa sana,hivi watu Wa TBC creativity 00000
 
Kuweni wazalendo pendeni Television yenu ya taifa ila hiyo bendera ya Korea ni aibu
 
Back
Top Bottom