Hawa watangazaji yani siwaelewi kabisa

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,699
2,000
Huyu jamaa anayejiita Tbway & baby faizer lani siwaelewi kabisa.... lani wameharibu kipindi cha 5select

Kipindi hiki kilikuwa bomba sana wakati hakina upuuzi huu
6cd9016d944b97955544d122fc0c4f02.jpg
 

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,286
2,000
Huyo bwana mdogo anayejiita Tbway na hiyo style yake ya kuongea ipo siku atajikuta kaangusha ulimi chini, sijui nani kamuharibu na hiyo style masikini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom