NIDA; Hii ya kulipia elfu 20 ikiwa katika majina herufi zimekosewa, nani kaibariki?

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,116
3,283
Kwakweli hii kitu haijakaa sawa.Kuna uwezekano kabisa majina yanakosewa makusudi ili mjipatie pesa.Elfu 20 ni kubwa mno kwa usawa huu. Nipo hapa magomeni kwenye ofisi zao ili jina langu lilekebishwe
 
magu kaua biashara sasa anatafuta hela kimagumash .................. nida hawana mamlaka ya kulipisha mtu pesa zozote kwanza mi walinipiga picha miaka miwili iliyopita na sijawahi kuona kitambulisho wala kuitwa popote kuhusu kitambulisho ?

sijui kitu chochote kuhusu kitambulisho cha taifa na ninauhakika mpaka naingia kaburini sitawahi kuhangaika na hicho kitu ......................... cha kura kinatosha

im not interested
 
Mnalipia benki au wanachukua cash? Kweli serikali inanjia nyingi za kukusanya mapato
 
Kwakweli hii kitu haijakaa sawa.Kuna uwezekano kabisa majina yanakosewa makusudi ili mjipatie pesa.Elfu 20 ni kubwa mno kwa usawa huu. Nipo hapa magomeni kwenye ofisi zao ili jina langu lilekebishwe
...magomeni = Magomeni
..lilekebishwe = lirekebishwe
.bado wajiona u mkamilifu huwezi kosea?
....kama wataka lipiwa,sema!
 
Screenshot_20170622-092623.png
Screenshot_20170622-092641.png
Screenshot_20170622-092659.png
 
Kwakweli hii kitu haijakaa sawa.Kuna uwezekano kabisa majina yanakosewa makusudi ili mjipatie pesa.Elfu 20 ni kubwa mno kwa usawa huu. Nipo hapa magomeni kwenye ofisi zao ili jina langu lilekebishwe
Kosa la nani mkuu,la NIDA au lako. Kama ni lako ni lazima ulipe.Kama ni lao wanapaswa kukutengenezea kingine bure!
 
Kwakweli hii kitu haijakaa sawa.Kuna uwezekano kabisa majina yanakosewa makusudi ili mjipatie pesa.Elfu 20 ni kubwa mno kwa usawa huu. Nipo hapa magomeni kwenye ofisi zao ili jina langu lilekebishwe
Wako sahihi kabisa na waangeweka laki1 watanzania hawajielewi eti mi nipo kwenywe tasisi ya elimu upande wa vyeti sasa mtu akija anandikishwa jina akija kwa kupokea cheti anasema mmekosea jina langu inabidhii kiandaliwe upya...sasa ikqbiddii kila mtu andike jina kwa mkono wake tunatunza hiyo record ila bado akija anasema jina lomekosewa tunamulizq nani kandika hapa na kusign mimi so anapaki mdomo wazi...ikitokea tunamdai alfu70 watanzania wako usingizini bado nida ni haki yao waangeze iwe laki mtu anamaliza form4, 6, professio na bad hata jina shida kwa kweli watanzania wamke
 
unawazimu wewe................
 
TRA nao wanatoza pesa ndefu kama ulichelewa kuhakiki TIN namba yako.
Ni mwendo wa kukusanya mapato
 
Back
Top Bottom