Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ITV, Ijumaa 6/23/2002 Je, makandarasi wanaochelewesha ukamilishaji wa miradi ya maji wachukuliwe hatua kwa uzembe? ############################################### Kwa vyombo vya habari kama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi wenu mmekuwa mkiona viatu vimetundikwa juu ya nguzo za umeme. Na wengi huwa mnajiuliza ni kwa nini mtu anachukua kiatu anatundika kwenye wire wa umeme? Jibu ni kuwa iyo ni kama sign post au...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimechunguza kipindi chote hiki, Ukifika muda wa kufuturu kupost humu kunapungua! What is the logical deduction? ........................
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Awamu Hi Cyo Ccm Wala Upinzani Wala Bwenyennye Au Makapuku Wote Tunaisoma Namba
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wanaofanya mauaji ni wazawa wa maeneo husika ambao walichukuliwa kwenda kwenye mafunzo huku wazazi wakiahidiwa chochote,, na kwa UMASIKINI uliopo maeneo hayo ni ngumu kwa wazazi hao kutaja watoto wao.
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Wana Jf Hbr Za Jioni.Mwanangu Anapenda Sana Maji Na Maziwa Tu Chakula Hataki Hata Kusikia She Is 12 Months Now Mpaka Kabali Kama Zile Za Mateja Vichochoroni Bado Anaziba Mdomo Mpe Maji Lita Nzima...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari za jioni wapendwa. Kwa mawimbi ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa nchini, nimeamua kuchukua hatua hii. Kwa kuanza malalamiko yangu na huu ushabiki wa kichama ambao tumeotoa katika sera na...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Kumekuwepo na minong'ono hasa kwenye huu utawala wa awamu ya tano, kuwa hatuhitaji mtu imara bali taasisi imara! Swali ni hivi mtu goigoi atajenga taasisi imara? Naamini mtu imara ndie atajenga...
1 Reactions
3 Replies
999 Views
me ni mwanafunzi wa mawasiliano yaumma na uandishi wa habari RUVUMA..... video yake ni kubwa sana ndiomaana nimeweka link... naomba kukosolea na maoni kuanzia style ya mwanzo wa habari mpaka jisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu wote wana JF, Wakati naayaandika haya, wakazi wa Ngorongoro wanajiandaa kwa Sensa ya watu na mifugo inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu,natumai ni wazima kabisa.Leo ningependa tuzungumze kuhusu imani/dini za waafrika na wazungu. Kumekuwa na tabia ya kuwalaumu wazee wetu wa kiafrika kwa kuacha imani zao na kufuata za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkazi wa Kijiji cha Mkole Kata ya Nkomolo wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ameokolewa na koti alilokuwa amevaa Kijiji hicho jana. Wakazi wa Kijiji hicho walijikuta katika taharuki kubwa, baada ya...
2 Reactions
74 Replies
9K Views
Charity begin at home, ni msemo wa kiingereza uliozoeleka kwamba jambo lolote zuri lianzie kwako kwanza kabla ya kulipeleka kwa jirani/mwenzio. Sasa turudi kwenye mada yangu ili mnielewe. Wimbo...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
1. Mwanafunzi wa kike ukiacha aendelee na masomo vipi kuhusu huyu wa kiume aliempa mimba kwanini yeye asimamishe masomo na ikiwezekana afungwe? Labda tukubaliane kuwa wote wawili wasifanywe...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Naomba kila mmoja wetu leo awe shujaa ya kuipigania haki ya msingi ya elimu kwa mtoto wa kike hasa baada ya Raisi kuonesha wazi kuwabagua hao wanyonge anaowataja kila siku, andika haki ya elimu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamishna Rogers Sianga amesema baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya walioko jela wanaishi maisha ya kifahari. Kamishna Mkuu DCEA asema wafanyabiashara wa dawa za kulevya wanaishi...
12 Reactions
151 Replies
20K Views
Wadau ningependa kuanza na pongezi kwa idara husika ndani ya Serikali kwa kufanya ukarabati wa barabara itokayo Tabata Segerea nakuelekea maeneo ya Kimara kuputia maeneo ya Tabata Kisukuru na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Travel House Global, Sojan Varghese amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya kujipatia Sh 193 milioni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalamu naomba kufahamu haya kuhusu huyu mnyama Nyoka. >Hivi Sumu ya Nyoka Inakaa sehemu gani katika mwili wake. >Kama mate yake ndio ile sumu mbona yeye mwenyewe Haimdhuru >Je Ikitokea Nyoka...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu salamu,sababu ya tofauti ya majira ya huku nilipo na huko nyumbani,basi kuna mambo yamekuwa yakinipita humu jukwaani,ama ninakuwa usingizini au nakuwa busy na kazi iliyonileta. Nimekuta...
137 Reactions
304 Replies
36K Views
Back
Top Bottom