Kwanini kila Ijumaa jioni au Jumamosi asubuhi Mabasi mengi yaendayo Bagamoyo hujaza Wanawake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Kuna mvuto gani wa ‘ Kutukuka ‘ kwa Wanawake hasa wa mjini huko ‘ Bagamoyo ‘ hadi huwa wanapakimbilia kila Ijumaa jioni na mapema Jumamosi / Jumamosi asubuhi?

Nawasilisha.
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,171
2,000
Kuna mvuto gani wa ‘ Kutukuka ‘ kwa Wanawake hasa wa mjini huko ‘ Bagamoyo ‘ hadi huwa wanapakimbilia kila Ijumaa jioni na mapema Jumamosi / Jumamosi asubuhi?

Nawasilisha.
Bagamoyo kuna mashamba sana, possible wanaenda kwenye shughuli zao za shamba ambazo ni ngumu kuzifanya weekdays.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Kwahiyo ikifika ijumaa jioni na jumamosi asubuhi kazi yako unaangalia jinsia ya wasafiri wanaokwenda huko Bagamoyo! Kazi kweli kweli.
Naona unanitafuta nikupe ' dozi ' ya Kuanza nayo Weekend na ikufanye pengine hata Eid el Fitr yako isiwe nzuri. Endelea tu kujaa taratibu katika ' Frame '.
 

mwayena

JF-Expert Member
Apr 21, 2016
2,639
2,000
bagamoyo kuna vivutio vingi sana ,watakua wanakuja kutembelea tu vivutio vya huku na wanawake naona ndo watalii wazuri wa ndani.kuna kaole,snake camp,kuna kanisa la kwanza la roma hapa,kuna caravan serai,kuna makumbusho ya dr living stone,bandari ya watumwa nk nk.....karibuni na wanaume kama wewe gent.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom