Rufaa ya vyeti feki

GEBA2013

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
3,758
2,000
Awamu Hi Cyo Ccm Wala Upinzani Wala Bwenyennye Au Makapuku Wote Tunaisoma Namba
 
Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
3,481
2,000
Tunawaomba wabunge wetu watuulizie kwa waziri wa utumishi, a.k.a waziri wa feki na uhakiki ni lipi rufaa za walliopinga kuitwa feki zitasikilizwa?
 
comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,317
2,000
Subirini mambo yanaenda kwa umakini na uhakika zaidi kuepuka makosa tena muda si mrefu orodha itatoka
 
ndalandefu

Senior Member
Nov 14, 2013
124
225
Tunawaomba wabunge wetu watuulizie kwa waziri wa utumishi, a.k.a waziri wa feki na uhakiki ni lipi rufaa za walliopinga kuitwa feki zitasikilizwa?
Ni kweli waulize ni lini majibu ya rufaa yatatoka, vyama vyetu Wafanyakazi navyo vipo kimya kufuatilia, Waajiri (HR) wamekaa kimya.
 
ndalandefu

Senior Member
Nov 14, 2013
124
225
Subirini mambo yanaenda kwa umakini na uhakika zaidi kuepuka makosa tena muda si mrefu orodha itatoka
comrade igwe waweke wazi, maana miezi miwili pasipo kupata mshahara na watu wanafamilia.

TAASISI zingine zimeanza na kuajiri maeneo yaliyoachwa wazi, wakati rufaa zinasubuliwa.
 
nabiidaniel

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
763
1,000
Weka bayana ndugu, unatumia cheti cha ndugu aliyepo private, mwanasiasa,au cha marehemu? Au baraza wanasema cheti chako kina tatizo gani? Unakuta watu 6 wamekata rufaa, wote cheti chao cha F 4 kina namba moja, wampe nani? Lakini mngetangaza hadharani mliosoma nao wangewatetea!!
 
ndalandefu

Senior Member
Nov 14, 2013
124
225
Weka bayana ndugu, unatumia cheti cha ndugu aliyepo private, mwanasiasa,au cha marehemu? Au baraza wanasema cheti chako kina tatizo gani? Unakuta watu 6 wamekata rufaa, wote cheti chao cha F 4 kina namba moja, wampe nani? Lakini mngetangaza hadharani mliosoma nao wangewatetea!!
Sio kila mmoja alifoji, kunawengine vyeti vilikuwa na matatizo mengine, pia ni rahisi sana kumpata mfano kuwaita wote walio submit cheti, ukiwa interview kwa kuwauliza maswali utafahamu tuu.
 
nabiidaniel

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
763
1,000
Ndio nilichotaka kusema, watu wamefoji vyeti, walipokamatwa wanaona aibu kukiri kwa jamaa zao, wanadanganya eti wamekata rufaa ili kuwazuga ndugu zao, ndo maana hakuna anayejitokeza kuwa yeye kakata rufaa, kila mtu cheti safiii, sasa kejeli kwa serikali za nini?
 
nsekwa

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
918
1,000
Weka bayana ndugu, unatumia cheti cha ndugu aliyepo private, mwanasiasa,au cha marehemu? Au baraza wanasema cheti chako kina tatizo gani? Unakuta watu 6 wamekata rufaa, wote cheti chao cha F 4 kina namba moja, wampe nani? Lakini mngetangaza hadharani mliosoma nao wangewatetea!!
Kweli ndugu, kuja jamaa nimesoma naye tangu O level mpaka chuo, naye jina lake lilitoka ana vyeti feki
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Kairuki(waziri wa uhakiki)watendee watu haki angalau kwa kuwajibu rufaa zao
wajue na wapange mipango mingine
Wana familia zinateseka,hata ww ukiambiwa acha uwaziri uendelee na ubunge wako utachanganyikiwa sembuse mtu aliyekua anategea mshaharatu na umefutiwa pini?
Waelezeni watu, mkumbusheni Raisi kama kuna rufaa hazikajibiwa msimsubiri mzee wa watu aseme kila kitu
 
shikasana

Senior Member
Dec 11, 2011
110
225
Weka bayana ndugu, unatumia cheti cha ndugu aliyepo private, mwanasiasa,au cha marehemu? Au baraza wanasema cheti chako kina tatizo gani? Unakuta watu 6 wamekata rufaa, wote cheti chao cha F 4 kina namba moja, wampe nani? Lakini mngetangaza hadharani mliosoma nao wangewatetea!!
Ndugu Shukuru Haijakukuta. Kuna Binti namfahamu alitakiwa kufanya Mtihani wa Taifa mwaka 2003 aka omba kuhairisha kutokana na kupatwa na maradhi alikubaliwa na kufanya mwaka unaofatia yaani 2004 kwa namba zake za mwaka 2003 matokeo yake kaitwa anacheti feki.
Je ulize mtu kama huyu serikali itakuwa imemtendea haki?
Je wapo tayari kumlipa fidia kwa kumuaribia sifa kwa jamii?
 
TwaliwaKweupe

Member
May 29, 2017
59
150
Wataalamu wa kuhakiki, tangu serikali ya awamu hii iingie madarakani wanahakiki nyaraka za watu waliosambaza pembejeo za kilimo na ni mwaka wa tatu sasa uhakiki unaendelea na hakuna dalili ya malipo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom