Watanzania mnatoa ushauri upi kuhusu mfumo gani utumike kumsomesha mtoto wa kike Tanzania??

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
Nawatakia IDD njema watanzania wote!!

Lakini huku tukiangalia ni mfumo gani Mzuri hapa kwetu Tanzania ktk kumpa elimu mtoto wa kike ktk mazingira yoyote Yale ambayo anayo!!!?

Wanabodi,NGOs,Serikali, wadau wa Elimu,Wanasiasa,Viongozi n.k kichwa cha habari kinajieleza!!
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,375
2,000
awali ya yote ningependa waandishi wa hbr wamuhoji mama samia yeye akiwa kama mwanamke,mzazi,kiongozi anaichukuliaje kauli ya rais..?

Kuhusu msaada mi naona wakasome ktk mifumo rasmi ya serikali QT au kurisiti
 

msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
3,664
2,000
vocational training ndio muarobaini wa elimu ya Tanzania kama zilivyo nchi zingine.Wanao jiunga na A level wawe maalum kwaajili ya ualimu tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom