Hizi katuni zinabeba ujumbe mzito sana.

Hizi katuni zinabeba ujumbe mzito sana.

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
6b82d1b88a7f508e1587ca2a38b0681d.jpg
 
unaweza ukawa ujumbe mzito lkn usiwe na ukweli ktk namna isiyoeleweka!
 
Wajiandae kuchora katuni za wanyama
 
Huwa zina maana kubwa, sema katuni huwa znabezwa saaana mtu akiona anacheka tuuu yanaisha
 
Kipanya anapaswa sasa amchore huyo jamaa aonekane amelemewa na uzito wa kichwa! Hilo komwe na devu (kidevu ni kidogo)
 
Duh!
Hivi kwa nini katuni ya jpm kila mahali kimpumi kikubwa na kidevu kirefu??
 
Tumuwekee bima kipanya!!
Bima ya maisha.
Wala kipanya siobwa kumuwekea bima.
Na huyo hapo hana kitu.
Kuna mtaalamu anaitwa said michaeli.
Huyo jamaa ni nyoko.
Kuna siku bashite uvumilivu utamshinda.. Ukiona alivyochora bichwa la magufuli utacheka aisee.
 
Back
Top Bottom