Updated: 2 minutes ago(AP)
COLOMBO, Sri Lanka - A bomb exploded at the entrance to a recreation park in the Maldives, wounding at least 12 foreign tourists Saturday, a government official said...
Habari zenu wana bodi...
Uzi huu unaweza usiwahusu watu wengi humu ila baadhi unatuhusu na pia nimeandika kufikisha ujumbe kwa Mzee wangu na Role Model wangu Mzee Mengi.. Siko hapa personally...
Hakuna kazi inayokosa changamoto, hata uwe mwerevu na mahiri vipi lakini lazima tu utakutana na kisiki
Waganga wa kienyeji nao hawajapona kwenye hili wengi walishapitia na majanga makubwa tu...
Tuacheni masihara mtaa wa Congo uliopo kariakoo hapafai ,huu mtaa kila siku ya Mungu kuna msongamano wa watu na hivi karibuni ndio kabisa umati wa watu unajaa ,kiusema kweli huu mtaa mimi...
Kwa wanaoishi na walioshi bagamoyo mjini bila shaka wataniunga mkono katika hili swala. Binafsi nilibahatika kukaa katika huu mji kwa takribani miezi 4 kabla sijafika ulikuwa ukiniuliza mtazamo...
Sasa viwanja vimeshuka bei ya kutupwa yaani ukiwa na laki tano tu unapata bonge la kiwanja na tena unaweza kujipimia mwenyewe uanzie wapi mpaka wapi kwa laki tano.
Maji yanapatikana vizuri tu...
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Ishaallah kesho ni Eid ul fitr ndio naangalia TV imani hapa wameonyesha mashahid wawili waliouona mwezi na wakamueleza sheikh wa mkoa mbeya. Na wameaapa...
Nimekuwa nikifatilia swala la kibiti kwa muda mrefu, damu za watu wasio na hatia zinamwagika kisa tu kwamba ama ni polisi au ni wawakilishi wa serikali. Wauaji wa kibiti ni watu waliojipanga na...
Kuna wakati nafarijika sana kuwa mtanzania,kuna wakati nahuzunika sana nikishtuka na kugundua kwamba am a Tanzanian!!!Huzuni hii inasababishwa na viongozi wetu wasio na maono na wananchi wasio na...
Wanabodi.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na taarifa mbalimbali za mzozo kati ya meya huyu na mbunge wa jimbo la bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki.
Kwa ambao hawajui sababu ,chanzo...
Wadau,
Miezi iliyopita barabara nyingi za baadhi ya wilaya hazikupitika kwa mvua na ubovu wake. Pendekezo langu ni kuwa serikali na halmashauri zisiishie kurekebisha na kuweka changalawe bali...
Habari za mda huu;
Jamani natafuta mfanya kazi yoyote wa Ttcl
kama yupo humu namuhitaji ani PM.
nina shida Muhimu kidogo.
asanteni.
NMESHAREKEBISHA asanteni sana[emoji7].
ref;husika hapo Juu na heard Line kua iweje huu mwenge hususani ktk wilaya zetu hapa Tz imegeuka kua Shubir kama sio keroo kwa wananchi kwa ujumla...NIKO NA MASWALI 3 YA KUJIULIZA...
Basi Nilivyo Wafikisha Wachaga Kwao Nikaanza Kurudi Nilipofika Kwenye Huo Mduara Una Vibarabara Vingi Nikaanza Kuzunguka Bila Kujua Njia Ya Kushika.Mara Tano Mpaka Nikalazimika Kupaki Shell Ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.