The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,502
- 2,046
Akizungumza kwenye kituo kimoja cha habari, rapa na msomi huyo amedai kuwa katika eneo la Bulyanghulu pekee kabla ya kuja mwekezaji palikua na wachimbaji wadogo zaidi ya laki tatu wanaojiajiri maeneo hayo lakini baada ya kupewa mwekezaji eneo hilo watu ameajiri watu wasiozidi elfu kumi.