UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 936
- 1,000
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Kila Baada Ya Dakika Kadhaa Huwa Nawachuniaga.Au Mnaonaje Wadau?