Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

0 Reactions
14 Replies
2K Views
Utalii Tanzania unakuwa kwa kasi ya 10G Neyma Huyo Tanzania.
4 Reactions
46 Replies
11K Views
Habari za mda huu; Jamani natafuta mfanya kazi yoyote wa Ttcl kama yupo humu namuhitaji ani PM. nina shida Muhimu kidogo. asanteni. NMESHAREKEBISHA asanteni sana[emoji7].
0 Reactions
20 Replies
3K Views
ref;husika hapo Juu na heard Line kua iweje huu mwenge hususani ktk wilaya zetu hapa Tz imegeuka kua Shubir kama sio keroo kwa wananchi kwa ujumla...NIKO NA MASWALI 3 YA KUJIULIZA...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
" Tofauti kati ya kuwa mkimya na kuwa mwoga ni zipi?"
1 Reactions
8 Replies
798 Views
BOT (Bank of Tanzania) mpooooo!! PhD 17 Sasa zimebaki 16 baada ya moja kufariki pale BOT.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Basi Nilivyo Wafikisha Wachaga Kwao Nikaanza Kurudi Nilipofika Kwenye Huo Mduara Una Vibarabara Vingi Nikaanza Kuzunguka Bila Kujua Njia Ya Kushika.Mara Tano Mpaka Nikalazimika Kupaki Shell Ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mtoto wa miaka miwili Buyunga Baragi amekutwa akiwa amechinjwa, huku panga lenye matone ya damu likiwa ndani ya nyumba anayoishi. Mtoto huyo, mkazi wa Kijiji...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanavyokuona hueleweki unawatia huzuni sana kama si hasira. Wazazi wamekusomesha wakiwa na mategemeo ya kupata kitu toka kwako.. Sasa usije ukajifariji kwa zawadi za mikate na machungwa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeskia mwezi July inakuja ndege mpya nyingine...nauliza ,je ndege hiyo itakuwa na tofauti gani na zile mbili aina ya bombaider au itakuwa sawa na hizi, kwenye kufaham please
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, napenda kukupongeza kwa ziara yako uliyoifanya mkoani Pwani. Ziara hii, imezidi kudhirisha uchapakazi wako, uzalendo wako na ujasiri wako katika kuliendesha Taifa hili. Pongezi...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Katika kipidi kinachorushwa saa 9:30 ijumaa usiku na huyu mtangazaji sam misago akiwahoji wasanii mbalimbali huwa mle ndani studio kwa ukutani kuna shelve kumepangwa chupa za pombe kali...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Wadau Nimeona Clip Moja Ya Ndoa Za Kihindi Bi Harusi Na Bwana Harusi Wamepanda Mgongoni Mwa Tembo Vp Hawa Wa Kwetu Tunaweza Fanya Hivyo?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yani mimi nasema big up CRDB, najuta kuwafahamu wengine.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salamu wa ndugu Mimi naomba elimu juu ya kile ambacho nimekuwa nikikisikia kwa muda mrefu kuwa mtu anaweza kuzaliwa akiwa ameshikilia kinyama mkononi mimi napenda kujua Je, hali hiyo...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Umakini flani kuelekezwa kwenye Viumbe badala ya Muumba, hili suala limekaaje? 1:Sanamu ya Mbao au Udongo kwenye mambo ya ibada. 2:Umakini mkubwa kupelekwa kwenye Mwezi, Nyota jua. 4:Kwa dini za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tamaduni mila desturi na imani ni vitu vya kushangaza mno...ni sawa na kuumba roho ambazo hazipo na kuzifanya ziwe live ziishi na kuathiri maisha yetu kwa njia moja au nyingine Tukianza na...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Natumai mpo salama. Nipo na nimezunguka maeneo tofauti huku Kariakoo kwa kifupi watu ni wengi nadhani hii ni kutokana na maandalizi ya sikukuu ya Eid. Nitoe tahadhari kwa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanabodi Salaam; Nimetembelewa zaidi ya mara 3 na watu wanaoshiriki huu upatu ktk taasisi hii iitwayo AMKA MWANAMKE(AMWA). Benki kuu hebu fuatilieni hii taasisi ambayo imesajiliwa Brela...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, eti naomba kuuliza hivi, eti hapa Jf mtu akiwa wa kwanza kukoment kila uzi huwa baadae kuna posho au malipo flani analipwa na Jf..? Naomba kujua ili kama ni fursa na mimi...
2 Reactions
15 Replies
960 Views
Back
Top Bottom