akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua...
Kuna chombo kimoja cha habari kimenichafua, kuwa nimepingana na agizo la Mhe. Rais kwa kuruhusu mifugo iingizwe ndani ya Hifadhi zote za Taifa, ikiwemo Serengeti. Jambo ambalo sikulisema.
Najua...
Nimewasikia viongozi wakuu wengi wakitamba eti nchi imefanikiwa kufanya elimu kuwa bure hadi kidato cha nne. Pia elimu hiyo ni bora.
Sasa nimeshtuka kuona Watoto wao kuanzia Rais, mawaziri na...
Shetani anatumia vitu vinavyong'aa nje kumbe ndani vimeoza,kumbe ndani kuna mtego wa kukunasa, ukitaka umkamate kuku dondosha mahindi atakufuata mwishowe utamkamata na kumchinja
Kuna mashirika...
Wapinzani wanasema CCM inatoa siri za ufisadi baada ya wanachama wao kwenda upinzani.
Lakini wanasahau kuwa na wao huacha kuwashutumu wanaCCM kuhusu ufisadi wao pale wanapohamia kwao.
Huu mchezo...
Ofisi hii imekuwa ikichelewesha kazi kwa makusudi huku watumishi wa ofisi hii hususan Msajili Msaidizi mwenyewe na baadhi ya wasaidizi wake kadhaa.
Kwao ni kawaida kuprocess mortgage kwa miezi...
Jamani uzi huu nimeamua kuuleta hapa ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi na kuleta usawa raia wote! Nitaanza kama ifuatavyo:-
1: Mwalimu (degree holder) akiajiliwa sehemu yoyote nchini...
Idara ya maji hapa wilayani Ukerewe inadaiwa deni na Tanesco kama milioni 7 katika mradi wa maji kijijini LUTARE WILAYANI UKEREWE, nje kidogo ya mji wa Nansio. Mradi uliozinduliwa na Makamu wa...
Habari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya...
Kama kuna funzo tunalolipata kila mvua kubwa tunapoipata ni hili la maji ya mvua.
Tatizo kubwa huwa hatujifunzi somo hilo.
Tuna vichwa vigumu!
Mimi ni mhandisi, na najua fika kuwa Water has the...
Kiongozi wa Bunge la Seneti la Australia atangaza nia ya kujiuzulu kutokana na kuwa na Urai wa pacha wa Australia na Uingereza.
Stephen Parry amesema kuwa anafikiria kujiuzulu akiamini kuwa...
Alipoondoka Hudson kipindi kiliyumba lakini kuna dada mmoja yuko kisomalisomali hivi wanamwitaga Baby Kabaye aliweza kwa kiasi fulani kukirejesha kwenye mstari.
Lakini sasa yapata wiki mbili...
Ofisi hii imekuwa ikichelewesha kazi kwa makusudi huku watumishi wa ofisi hii hususan Msajili Msaidizi mwenyewe na wasaidizi wake kadhaa.
Kwao ni kawaida kuprocess mortgage miezi hata land search...
Mzozo na malumbano mazito yametwala katika kikao cha Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wakihoji upotevu wa fedha zaidi ya Shiligi Bilioni moja kati ya mabilioni kadhaa ya...
Leo ni siku ya tatu toka nilipie king'amuzi kila nikiwasha tv inaonyesha kwa sekunde chache kisha yanatokea maandishi 'no service' mjue nimelipia ili nipate habari na yanayoendelea nchini kwetu na...
Salaam wakuu,
Wanabodi kwa mimi ninavyoona huu mfumo wa kidemokrasia kwa Afrika umeshindikana, wengi tunashuhudia vurugu na mitafaruku ambayo inaendelea Afrika kwa jina la demokrasia. Hivi...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Kifo ni nini? Kifo ni kitendo cha mmea, mnyama au mwanadamu kuishiwa pumuz, kwa tafsiri...
Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akawagonga.
Taarifa zisizo rasmi watatu wamefariki hapo hapo
Askari saba...
Haikuwa kitu rahisi Mimi kukubali kuhamia boarding / hostel kwa umri ume na stori za kipindi hicho kuhusu huko boarding. Kwa bahati mbaya mama yangu akapata nafasi ya kuongeza kisomo ktk chuo...
Huyu ni kijana anayependezwa naye, na sidhani kama ataacha kuhama anaye pale atakapoazimia kuhamisha serikali kuu yake Dodoma.
Sina hakika sana, ila naona kitu kma hicho kuja kutokea, na hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.