Violet Mzindakaya mwepeeeeesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Violet Mzindakaya mwepeeeeesi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Jun 8, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua wakidanganywa kwamba wao ndio wana maisha magumu wakati dunia nzima hali ya uchumi ni ngumu, sasa wanataka kutumia nafasi ya mkutano wa kesho kuwaambia watanzania ukweli, wanataka watanzania watambue hali ya maisha ni ngumu si tu tanzania ila hata sehemu nyingine duniani tofauti na wanavyodanganywa na wapinzani hasa CHADEMA.

  Mithali 17:20
  Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;
  Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade si kila maombi Mungu huyasikliza Kwani Maombi ya wanafiki (CCM) nI sawa na kelele mbele zaMungu bali maombi ya wenye haki(.......) ni manukato mbele ya Mungu
   
 3. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huyu dada.....mmmh let me have my glass of kiroba puliiiiz
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  hawa watoto wa vigogo walio kulia nje ya nchi unapozungumzia maisha magumu kwao huwa ni KUKOSA HELA YA KUBADILI LOSHENI ya kupaka usoni..au kunywa chai isiyo na maziwa hasubui asubuhi ...

  hawajui kuwa kuna mtu huwa anakosa hata buku mbili ya kung'oa jino hospitali inabidi akimbilie kanisani akaomewe
  SHAME ON THEM
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hana lolote, mtoto wa Fisadi tu. Atueleze zile hela BABA yake alichukua pale Benki kuu kwenye SMEs Guarantee scheme akawekeza kiwanda cha nyama alirejesha? Au kwa kuwa alijua serikali imeweka dhamana kwa hiyo akichukua akisepa deni litalipwa? Nyamaza huko, nyie ndo wale wale tu hamjui kuwa kuna mtanzania hajui kesho atakula nini, atavaa nini, atasoma wapi, atatibiwa wapi, atapata wapi maji, atataaaaaaaaaaaaa...... mpaka karne hana jibu la uhakika wa matatizo yake.
   
 6. B

  Bob G JF Bronze Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu Binti si ndo baba yake kakatalia bwawa wananchi wasitumie kule sumbawanga! kweli nimeamizi Uzao wa Gamba Umezaa MAGAMBA
   
 7. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hana mpya!!ni uzao wa mfumo wa chama tawala!amekuwa hapo alipo sbb ya CCM!Kuiponda CCM ni kuponda sehemu inayompa ujanja wa kukaa mjini!alifikili akitumia kiswahili cha kisister-du ndo atawavutia watu!!Mi nipo mtaa wa Mabibo..balozi katupitia anasema sehemu ya kukusanyika kupanda basi itakuwa Makuburi-Shuleni
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kinachokera ni vile alivyokua anaongea utafikiri mtoto wa miaka 17
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 4,999
  Trophy Points: 280
  ..aache uongo!!

  ..sisi tuliokula chumvi tunajua uongo na visingizio vya CCM tangu zamani.

  ..kwanza walikuwa wanasingizia kuvunjika kwa jumuiya ya afrika mashariki.

  ..baadaye wakaja na visingizio vya vita vya Kagera.

  ..wakasema kuna wahujumu uchumi na walanguzi.

  ..baadaye wakadai hakuna fedha za kigeni.

  ..wakaja wakadai ni masharti magumu ya IMF na WB.

  ..kupanda kwa bei ya mafuta ktk soko la dunia.

  ..wakasema tunafunga mikanda kulipa madeni ya nje.

  ..halafu ukaja mtikisiko wa uchumi wa dunia.

  ..TANGU CCM IANZISHWE IMEKUWA NI VISINGIZIO TU. SASA TUMEAMUA KUWATOA MADARAKANI.
   
 10. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  VIOLET MZINDAKAYA ni nani na ana wadhifa gani katika nchi yetu?
   
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hii nimeipenda, tukiwaonea aibu watakuja na sababu ingine. . . ooh tulikua tunavua magamba!
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Si kila sehemu duniani ina Gold, Tanzanite, Diamond, Nickel, Uranium, gas, oil, misitu, Mbuga za wanyama, bahari, maziwa, mito, Mt Kilimanjaro, arable land. Si kila sehmu duniani utakuta serikali yake inatumia 38% ya National budget kununulia magari ya kifahari kwa ajili ya wakubwa wachache! Si kila sehemu duniani utakuta serikali inafanya mazungumzo na wezi - grand thefts! Si kila mahali.
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  yaani kama wanafunzi wa UDSM watahudhuria basi ntawaona ni wajinga kuliko chochote kile
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ni mtoto wa FISADI Chrisantus Mzindakaya, yule mbunge aliyekuwa mchawi sana kiasi kwamba hakuna mtu alikuwa anasubutu kugombea Ubunge. Yule ambaye ili kuwaonesha wapiga kuwa kuwa ana nguvu za kichawi alitundika koti hewani. Hebu funga macho halafu uone ni kwa jinsi gani unaweza rusha koti hewani likabaki limening'ia!!! Nafikie pia alitumika kupata ile juju uliyommaliza yule mtu alikuwa anapinga masuala fulani na akafa na tukasikitika wengi!!!!!!!! So sad!!! Ukimwoa huyu umeoa uchawi!!
   
 15. U

  Uswe JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  afu ni mama mtu mzima sasa kuongea utafikiri ni limbukeni flani inakera sana
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  the last kick of dying donkey.
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kuzungumzia hiyo takataka (Violet) ni kuidhalilisha jf
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  huyu kachaguliwa chama na baba yake, sisi tuko na fikra huru that why tumechagua upande mzuri wa historia.
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  afu kajisahau kwamba keshakua mama mtu mzima
   
 20. b

  bumes Senior Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  nani amedanganywa anafikiri wa tanzania hatuna macho, aende zake huko alikuwa
   
Loading...