poleni na majukumu!
Nimetafuta huduma hii karibu siku nzima kampuni inayotuwa huduma hii.Mimi ni mjasiriamali wa mtandaoni nataka kutoa huduma kwa wateja wangu lakini kuwepo makato fulani kila...
Jeshi la polisi mkoa wa Mara limewakamata raia watano wa nchi ya china wanaomiliki mgodi wa madini wa Zem Tanzania Limeted katika kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama,wakitorosha mchanga wenye...
Kuna tabia mbaya ya watu /mtu kuingia na simu chooni hasa wanandoa au watu ambao wapo kwenye mahusiano.
Mtu akienda huko chooni anaanza kuchart huku akijisaidia. Utakuta ukimpigia mtu simu...
Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,
Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja...
Wasalamu..
Kabla ya Kuning'ing'izwa na TRA needs your help.
How do w charge Withholding Tax 5% plus VAT Tax on Services rendered Invoices?
Mfano a Total Invoices in charge ya 100, 000 then do...
Dereva wa gari la Mkuu wa Polisi (OCD), wa Wilaya ya Pangani mkoani Tanga Koplo Nassoro amefariki katika mazingira ya kutatanisha wakati wa msafara wa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe...
Leo tarehe 31/10/2017 uongozi wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA),mkoa wa MARA,umetangaza hadharani jumla ya makusanyo ya pesa zilizochangwa na Viongozi wa chama mkoa,wanachama pamoja...
Wakuu!
Kuna laana zingine zitatutafuna kwa miaka michache ijayo. Hivi hakuna watu/watumishi ambao ni "lateral thinkers"? Hasa kwa zama hizi, logic ya homa ya mafua ya ndege ni kweli? Imeanza...
Mapema kuanzia miaka ya 2007 hadi Siku za hivi karibuni neno fisadi lilitawala sana kwenye bongo za Wabongo. Tuliaminishwa Kuwa nchi hii haiendi kwa sababu ya Mafisadi, tena mafisadi papa. Hii...
Tanroads imesema watumishi hao wamefutwa kazi kati ya Januari na Oktoba,2017.
Watumishi 71 wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wanaofanya kazi katika kitengo cha mizani wamefukuzwa...
Habari wakuu..
Tangu mwaka 2015 kuna watu walikuwa wakinyooshewa vidole kuwa ni mafisadi.Na wakatuaminisha kuwa endapo wataingia madarakani watawaanzisha mahakama ya mafisadi ili wayafunge hayo...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewakamata na kuwashikilia watu 29 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali ya uhalifu wa kutumia silaha na vifaa bandia vya kuvunjia milango, 7 kati yao...
MKURUGENZI wa halmashauri ya Meru, Christopher Kazeri, amezuia madiwani wa CHADEMA wasilipwe posho na kuruhusu diwani wa CCM, alipwe baada ya baraza la madiwani kujigeuza kama kamati kwa lengo la...
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyalandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya Mwanza.
Kwa mtazamo wangu, Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa...
Kwa nini maafisa usalama hapa nchini wakikamata nyara za serikali au madawa ya kulevya hukimbilia na kusema thamani yake, utasikia pembe za ndovu au meno ya tembo yenye thamani ya million kadhaa...
5 Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa Bwana; Hakika, hatakosa adhabu.
Mithali 16 :5
6 Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha Bwana watu hujiepusha na maovu.
Mithali 16 :6
7 Njia...
Nimelazimika kulalamika katika mtandao huu wa JF maana naona M-Pesa sasa hivi ni very risky.
Jana nimemtumia mtu pesa kwa M Pesa akiwa dukani(pharmacy) ili anunue madawa muhimu sana kwa mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.