Yule mwanadada wa Clouds 360 yuko wapi? Kipindi kimepoteza mwelekeo

Yule mwanadada wa Clouds 360 yuko wapi? Kipindi kimepoteza mwelekeo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Alipoondoka Hudson kipindi kiliyumba lakini kuna dada mmoja yuko kisomalisomali hivi wanamwitaga Baby Kabaye aliweza kwa kiasi fulani kukirejesha kwenye mstari.

Lakini sasa yapata wiki mbili mdada yule hayuko na kipindi kinakwenda vulu vulu, haijulikani nani anaongoza kipindi na nani ni mgeni yaani full majanga.

Mfano jana alikuwepo mbunge Kangi Lugola kiukweli yeye ndio alionekana kama ndiye muongoza kipindi na wale vijana wawili ndio wageni.

Clouds jiangalieni bhana sometimes mnaboa.
 
Wakati mwingine unaweza ukashindwa kuelewa baadhi ya vitu,huwa najiuliza maswali mengi kuhusu yule Hassan ngoma Bila majibu,kila nikimtazama najiuliza Nani aliona inafaa kumuweka pale sipati jibu
 
Alipoondoka Hudson kipindi kiliyumba lakini kuna dada mmoja yuko kisomalisomali hivi wanamwitaga Baby Kabaye aliweza kwa kiasi fulani kukirejesha kwenye mstari.

Lakini sasa yapata wiki mbili mdada yule hayuko na kipindi kinakwenda vulu vulu, haijulikani nani anaongoza kipindi na nani ni mgeni yaani full majanga.

Mfano jana alikuwepo mbunge Kangi Lugola kiukweli yeye ndio alionekana kama ndiye muongoza kipindi na wale vijana wawili ndio wageni.

Clouds jiangalieni bhana sometimes mnaboa.

CLOUDS wakiamua kuboa wanaboa haswa, they bore confidently
 
Kwa mujibu wa hassani ngoma, eti, eti lakini... Wamemwambia kabaye aende Dubai baada ya kurudi kutoka china. Ili kuwawakilisha kwenye forum ya kibiashara.....

My take:
Kwa uzoefu wangu wa Kufanya kazi na wapare (Mshana jr. Style), yule binti anatakiwa awe makini, atakuja kukuta Hana lake pale mawingu..... Wapare wanapenda fitna sana. Haswa hapo wanapolima mirungi....
 
Back
Top Bottom