Jamani uzi huu nimeamua kuuleta hapa ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi na kuleta usawa raia wote! Nitaanza kama ifuatavyo:-
1: Mwalimu (degree holder) akiajiliwa sehemu yoyote nchini kwa mfano kama mshahara wa level yaani degree ni laki 7 basi ni kila mwalimu mwenye kiwango cha elimu haijalishi anaripoti Iriboru, pugu, Sanya Juu(kata), Tandahimba, etc
2. Kada zingine kama mhasibu , IT, Public realation, HR, Secretaies, etc hakuna usawa kabisa , mfano IT mwenye bachelor aliyeko Euwura, analipwa may mara 3 ya mshahara wa IT alieko Wizara ya Ujenzi, Elimu , etc hivohivo kwa mhasibu , HR , etc
3. Utakuta HR alieko TANAPA analipwa mil. 2 na alieko Utumishi anapata laki 8, lakini wote wametoka UDOM mwaka mmoja na kozi zilezile.
4. Nisite mfano mmoja wa Public relation alihama Taasisi moja ya serikali (jina nalihifadhi) akilipwa mshahara wa 565,000/= na kwenda Ewura kwa fani ileile na kulipwa 3,000,000/= wakati kiwango cha Elimu ni hichohicho na title ni ileile (TAASIS ZOTE NI ZA SERIKALI).
MADHARA YANAYOJITOKEZA:
1: mwajiliwa kutofanya kazi kwa ufanisi maana kila siku mindset yake ni ku-google ajira zingine zenye maslahi, ukiwa na usawa mtu huyu hata hangaika maana anajua kila kona ni wembe ulele!
2. Kupoteza wafanyakazi mara kwa mara kutoka tasisi moja kwenda nyingine! Pengine ni mwajiliwa mpya aliyeajilia na hajamaliza hata miezi 3.
3. Kupeteza pesa kwa taasisis husika iliyoachwa! Maana mtu huyu kalipwa posho za kujikimu na pesa za kusafirisha mizigo toka Nyamazugwa hadi DSM hata jua HALIJAZAMA KASEPA.
4. Kuongeza mianya ya rushwa maana mwenye MASHARA mdogo analazimika apige nyoka ili waendane kimaisha na jamaa yake waliekuwa nae chuo kimoja na cozi moja, shida ni taasi zilizowaajili kutofautiana viwango vya salary.
USHAURI KWA MWAJIRI MKUU.
1. Kutengeneza uniformity , inakayopunguza matatizo haya!
2. Mfano Ikiwa Baadhi ya Taasisi za serikali zimepewa mamlaka ya kuwa their own salary scale, basi ukisema IT nchi nzima watalipwa laki 8, hizo taasisi ziongeze 50elfu au laki 1, lakini kutoka laki 8 to 2.5 milion , hata mimi lazima nigoogle daily kusaka nafasi mpya, na sitakuwa busy na hii taasis yenye kiduchu maana najua wakati wowote fyuuuuuuuu!
Naweza kueleza mengi lakini mwenye kunielewa na mwenye akili yakinifu kashaelewa CONCERN YANGU:
NOT FAIR KABISA:
MAMA KAIRUKI (WAZIRI WA UMIMISHI NA AJIRA) and
THE BIG BOSS JPM,
TUSAIDIENI KATIKA HILI TUACHE KUTANGATANGA KUSAKA AJIRA MPYA WAKATI TUSHAPATA SHIDA MASLAHI!