Rais akihamia Dom, nadhani atahama na Makonda

Rais akihamia Dom, nadhani atahama na Makonda

Watumishi wa Umma Mbona kasi Yao ya kuondoka Dsm haiendani na kasi ya awamu ya Tano?
 
mtoto wa baba analindwa anafahamu hajui kusoma wala hana vyeti ila kwa kuwa anakamata watu anaowahisi wauza madawa ya kulevya basi anafaa kuwa mkuu wa mkoa.
 
Huyu ni kijana anayependezwa naye, na sidhani kama ataacha kuhama anaye pale atakapoazimia kuhamisha serikali kuu yake Dodoma.

Sina hakika sana, ila naona kitu kma hicho kuja kutokea, na hilo litapokelewa vizuri sn na wanadarisalama...!!!
Hahahaha nimecheka Mpaka nimevunjika mbavu hahahaha
 
Hahahaha nimecheka Mpaka nimevunjika mbavu hahahaha
Pole sana mkuu kwa mvunjiko wa mbavu. Sasa hapo utakuwa na makovu mawili. La kwanza ni lile uliloondolewa mbavu kwa ajili ya "Hawa" wako. Na la pili ni hili lililo kukuta nyakati za ucheshi. Maanani atakuwa mwenye kukuafua, amina!
 
Ngoja nihifadhi maoni lakini haya ni zaidi ya makhaba
 
Back
Top Bottom