Hivi nyie viongozi wa manispaa ya ilemela mpo? haya mavifusi mliyomwaga hii barabara ya buswelu hamyaoni?
Leo takribani siku ya 5 njia imejaa mavifusi kuanzia kona bar hadi inapoanzia lami kule...
Habari,
Naomba niende moja Kwa moja ktk hoja yangu.Mimi ni mteja wa bank ya CRDB ila naomba Kwa anayefahamu,Kuomba card mpya kuna gharama yoyote???Kadi yangu inakwisha muda wake mwezi wa 11 na...
Mungu ni mwema sana
Hali ya Mbunge , Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia Raisi wa TLS Mheshimiwa Tundu Lissu imeendelea kuimarika...na sasa anaweza kula mwenyewe... Hakika Mungu Mwema sana...
Mara ya kwanza kwa wapenzi wa bibilia haya mambo yalitokea na kushamiri pale watu walipomkataa Mungu. Mwisho wake ukafupishwa na stori za sodoma na gomora.
hii imefafanuliwa vizuri ktk kitabu cha...
Kuna jambo nimeshindwa kulielewa wakuu!!
Hii bomoa bomoa inayoendelea sasa ambapo Nyumba zilizopo mita 125 kila upande Wa barabara INA malengo gani hasa? Ninauliza kwa sababu hakuna namna ambayo...
Habari za muda huu wana JamiiForums wote,
Kichwa cha thread cha husika,
Nimekaa nakufikiria kuhusu hili jambo kwa kina sana, hivi inawezekana binadamu kuishi bila siasa kweli?
Nauliza hili...
Babu zetu waliteswa sana na wakoloni na hasa waarabu lakini wazee hawa hawakuweza kuutumia ushirikina wao katika kulipiza visasi kwa wakoloni?
Kama hivi leo mtu anaweza kumchukua mwingine kuwa...
Ni st francis university college of health and allied science(kilichopo ifakara,morogoro).
1.Kuhusu usanii.
Hili ndio jambo la hatari zaidi,huwezi amini kwenye chuo...
MABADILIKO MADOGO YA EXPRESS:
Taarifa kwa abiria wetu wa usafari wa haraka (UDART). Kuanzia kesho Novemba 1, 2017, magari yote yanayotoa huduma ya EXPRESS kutoka Kimara kwenda mjini nyakati za...
Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lakini yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaomtegemea Mangi Kimambi...
Kwa kweli nia ya dhati ya mheshimiwa Rais ya kunyoosha nchi inahujumiwa sana na watendaji wake. Leo napenda kuonesha madhaifu ya NECTA kutokana uzoefu wangu.
i) Usimamizi wa vituo vya mitihani...
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amegonga basi la mwendokasi na kusababisha madhara kwa abiria na basi, huku akikimbia na kutelekeza gari alilokuwa akiliendesha.
Tukio hilo limetokea...
Wakuu heshima zenu,
Hapo zamani kabla ya zuio la makinikia, serikali kupitia wizara ya nishati na madini, ilikuwa inaruhusu usafirishaji wa vifurushi au michanga ya madini nje ya nchi. Vifurushi...
Viongozi mbalimbali wa upinzani tanzania wamekuwa wakifurahishwa sana kuwekwa ndani na vyombo vya serikali kwani ni ishara kuwa sindano imewachoma vibaya serikali na kuchukua hatua ya kuwaweka...
Kukosekana kwa kiongozi yeyote wa Chama cha upinzani huko Mwanza katika ziara ya raisi Magufuli kumewakosesha hela ambazo alitaka awachangie Chama pinzani Kama alivyofanya kwa Chama chake cha ccm...
Katika nchi yeyote, uongozi uliopo madarakani ukipita mipaka katika kuwatumia Polisi kukamata kamata viongozi wa siasa kwa sababu ya vikosa vidogo vidogo au mara nyingine shutuma zisizo na msingi...
Hata kama huwezi kusikia hata kuona Jamani huoni?
Nyarandu move is a massive move!!! People, Leaders, Politicians, Business people are tired!!!
Let wait and see!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.