Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za wakati huu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kusema ukweli sijaona nia ya dhati ya wanasiasa wetu katika kulikomboa taifa letu (chama tawala vs upinzani) zaidi ya ushabiki wa simba...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
....nimeikuta mahali ....Naomba kufahamu kama hii taarifa ni ya kwel
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Wakuu kwema humu mimi ni mteja mtiifu wa hii bank kwa muda kiasi nimekuwa nikifanya miamala yangu bila kufika tawi la bank,Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa hii bank, Leo nimefika Tawini Arusha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Angalizo: Kwa wasio na uwezo wa kusoma thread ndefu, hii haiwafai. Imelengwa kwa Zitto, wafuasi wake na wale walioguswa na ile hotuba yake ya jana kwa vyombo vya habari. Mara tu baada ya rais...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) kimenasa majahazi matatu yalisheheni magendo ya sukari na mafuta ya kula katika bandari ya Uzini yakiwa tayari kwenye majahahazi matatu kusafirishwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu kaja kuniomba ushauri afanye nini juu ya pesa shilingi laki tano aliyoikuta imezidi kwenye account yake. Yeye ni mtu wa kawaida tu, hakuwa na mtu anayemdai wala hakuna mtu kama...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwenye suala la ajira kuna umuhimu wa uzoefu, lakini pia kuna haja ya kuwapo kwa nafasi za watu wasio na uzoefu, kwa sababu ni vigumu mtu anayetoka chuoni kuwa na uzoefu wa kazi wakati hajawahi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu. Hapo tu tukiwaeleza hali ni ngumu kuwekeza Tanzania na hata mazingira ya biashara sio rafiki. Utakuta watu wanatoa povu unadhani kwa nini wawekezaji wanakimbilia nchi nyingine , ni kwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Najua watu wana mjadala wa Nyalandu na wengine mjadala wa Magu na wale ambao hawatakiwa "kubomoleshewa" kule Mwanza.. miye nina kijiswali kidogo tu nimekiokota katika pita pita zangu. Nilikuwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini Kwa kweli mpunguze...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
For I know that my Redeemer lives, And He shall stand at last on the earth; And after my skin is destroyed, this I know, That in my flesh I shall see God, Whom I shall see for myself, And my eyes...
3 Reactions
8 Replies
9K Views
Jeshi la polisi mkoani kagera linamshikilia Ashraf Amin Kaitaba mwanafunzi wa kidato cha tatu anayesoma katika shule ya sekondari ya Bukoba iliyoko mkoani humo aliyekamatwa jana na maofisa wa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuanzishwa kwa makampuni ya ulinzi SUMA JKT GUARDS na CHINA-TANZANIA SECURITY kunakwenda kuuwa kabisa makampuni binafsi ya ulinzi hapa nchini. Sababu SUMA JKT -wamehodhi kulinda ofisi zote za...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta mshtakiwa Salum Njwete, maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ anayekabiliwa na shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi ana kesi ya kujibu na anatarajiwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mwanza. Rais John Magufuli ametoa siku 14 kwa wamiliki wa kiwanda cha nguo cha Mwatex cha jijini Mwanza na cha dawa cha Keko jijini Dar es Salaam kuonyesha mpango madhubuti wa kiutendaji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ofisa Ustawi wa Jamii wa Wilaya ya Kinondoni, Judith Kimario amesema takriban robo ya kesi 1,134 zilizowafikia mwaka 2016 zimesababishwa na ulevi wa pombe wa kupindukia. Amesema wamepokea kesi 266...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Dr Samweli Ogilo: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI YA UGONJWA WA MARBURG Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengine wote mnawasema wana roho mbaya kwa sababu hawajamtembelea Tundu Lisu, mbona Mzee Mtei yeye tena yupo hapo Arusha pua na mdomo hajaenda kumtembelea? Vipi Mtei pia ana roho mbaya?
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamani tulisema kuna hila zimefanyika huku Mikoani katika kuwapata Wadadisi Mapato na Matumizi Kaya binfsi (HBS). Hadi tarehe ya mwisho kutuma Maombi ya kazi hiyo (tarehe 12/08/2017) kwenye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom