Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, Ni jambo la kutia moyo pale ambapo wakopaji wanarejesha mikopo kwa wakati ili kuwezesha wengine wapate msaada kama wao. Hapa nyumbani nina kijana wangu ambaye miaka ya nyuma sana alipata...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Great thinker! Napanda Jukwaani kichwani nikiwa nimeibeba mada hapo juu. Shule ina miundo mbinu mingi ya kufundishia na kujifunzia. Miongoni mwa miundo mbinu hiyo ni pamoja na Maabara...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Adolf Hitler japo alikuwa ni katili wa kutupa, bado alionyesha huruma na akili ya hali ya juu sana katika kuwaangamiza maadui au wale ambao hakuwahitaji katika jamii. Kwanza alipowakamata watu...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Juzi Meya wa Mwanza ndugu James Bwire alikamatwa na kuwekwa ndani wakati wa ziara ya Rais huko Mwanza. Ninalaani tabia ambayo imeanza kushika mizizi ya kukamata viongozi wa serikali za mitaa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna tatizo kubwa katika utoaji huduma kwa mabasi ya mwendokasi, ni dhahiri kwamba wahitaji wa huduma ni wengi na watoaji wa huduma wamezidiwa labda kwasababu ya monopoly power ya route...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Karibu
3 Reactions
0 Replies
573 Views
Leo Novemba 1, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya. Uamuzi huo umetolewa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
'Kamishna Sirro asema mzozo kati ya Polisi na Adam Malima ulisababishwa na kuegesha gari vibaya na alipotakiwa kulipeleka 'yard' alikataa. Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua...
7 Reactions
241 Replies
31K Views
Ni zipi mbinu sahihi za kumuandaa mtu kisaikolojia wakati wa kumpa taarifa ya majanga? Nini unatakiwa kuwaza au kufanya kabla ya kumpa mtu taarifa mbaya?? 1. Fahamu kwanza kwamba hii sio kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa ufupi Ewura imesema bei za jumla na rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda. Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura) imetangaza ongezeko la bei...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wana JF. jaman naomba msaada mwenye kujua tofauti na matumizi na vingine vyovyote vinavyohusu accounts tajwa hapo juu katika crdb bank anifafanulie .nawasilisha kwenu wana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimepita sehemu nyingi Tanzania mjini kwa vijijini,kuna mazingira unakuta una Pesa lakini haiwezi kukusaidia chochote kupata mahitaji muhimu kama malazi ama chakula Katika changamoto hizi wadada...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
WAKILI Maarufu jijini Arusha, Median Mwale na washitakiwa wenzake watatu wamemtaka Naibu Mkurugenzi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Oswald Tibabyekomya atumie mamlaka aliyonayo kuwafunga...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kufuatia mkanganyiko mkubwa wa matumizi ya maneno "Mwizi" Fisadi" Mchochezi" ni vema taasisi ya kiswahili hapa nchini iingilie kati na kubainisha ukweli halisi wa maana za haya maneno. Hii...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
RC Makonda leo amekabidhiwa mabasi 10 chakavu ya vyombo vya ulinzi na kuyapeleka kwenye karakana ya kampuni ya Dar Coach iliyopo Mkuranga kwa ajili kufufuliwa upya na kuwa ya kisasa.Yanategea...
4 Reactions
93 Replies
9K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limewakamata raia watano kutoka China wanaomiliki mgodi wa Zem Tanzania Limeted katika kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama, wakitorosha mchanga wenye madini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wakenya wengi wamefanikiwa na wapo wanasoma belgium... nawasihi wabongo mchukue nafasi Ghent University Top-up Grants — Ghent University regards
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Habarini wakuu, Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hospitali nyingi, ninaomba kufahamishwa hospitali nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) nchini imewashauri wananchi wa mikoa ya kanda ya Pwani kuchukua tahadhari stahiki ya kutokana na vipindi vya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika maeneo yao kwa...
1 Reactions
3 Replies
857 Views
Wakazi wa kijiji cha Igurusi kata ya Igurusi tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamepigwa butwaa baada ya mbuzi aliyepo katika kijiji hicho kuzaa mtoto anayefanana na binadamu kama...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Back
Top Bottom