Tunatamba Elimu Bure; Mbona Watoto wetu Hawasomi Huko?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,031
Reaction score
74,722
Nimewasikia viongozi wakuu wengi wakitamba eti nchi imefanikiwa kufanya elimu kuwa bure hadi kidato cha nne. Pia elimu hiyo ni bora.
Sasa nimeshtuka kuona Watoto wao kuanzia Rais, mawaziri na viongozi wengine Watoto wao hawasomi huko wanakosema elimu imekuwa bure bali wanawapeleka shule za malipo? Jee tuwaamini kuwa hiyo elimu bure ni bora kweli au bora liende tuu?
 
Siku zote cha bure hakina thaman sana kama chakugharamiwa wewe juwa hivyo mkuu .na kama una mtoto komaa naye usijiachie et kisa elimu bure hiyo hakunaga.
 
Kuwe na sheria viongozi wote watoto wao wasomee shule za serikali hapo italete usawa
 
Siku zote cha bure hakina thaman sana kama chakugharamiwa wewe juwa hivyo mkuu .na kama una mtoto komaa naye usijiachie et kisa elimu bure hiyo hakunaga.
Mkuu huko nilishapita na wangu wako elimu za juu na napambana na hali yangu mwenyewe.
Hapa tunalisemea taifa
 
Back
Top Bottom