Wapinzani wasiionee CCM tu,hata wao......

Wapinzani wasiionee CCM tu,hata wao......

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,424
Wapinzani wanasema CCM inatoa siri za ufisadi baada ya wanachama wao kwenda upinzani.

Lakini wanasahau kuwa na wao huacha kuwashutumu wanaCCM kuhusu ufisadi wao pale wanapohamia kwao.

Huu mchezo ni wa kitoto sana kwenye siasa.CCM na UPINZANI wote akili yao moja.

Akiwa kwingine mchafu akiwa kwetu msafi!!!!

,.....,................
 
Back
Top Bottom