Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanabodi, Hakuna kitu kinachofanywa ndani ya nchi hasa training za pesa bila ya mtoa training kuwa na Certification yoyote. Ikumbukwe kuwa mambo ya pesa yakiyumba hasa thamani ya shilingi huathiri...
19 Reactions
221 Replies
21K Views
Juzi siku ya mwisho wa mwezi November, Serikali iliongeza increment kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja ulioisha wa November. Watumishi wengi hawajajua kama kuna salio la pili limeongezeka...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu tafadhari au weka linki kama utaipata Ziwe ni mpya
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Mwishoni mwa mwaka jana serikali kupitia TCRA ilitangaza kupungua kwa gharama za mawasiliano toka tarehe 1 mwk huu. Binafsi nilitegemea mabadiliko kwenye bei za vifurushi but sijaona hvyo...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Wanajamvi, ni takribani miaka 30 sasa tangu mzee wangu atangulie mbele za haki. Kwa kipindi chote hicho haki zake (mirathi) ambazo kimsingi huamia kwa watoto na mjane wa marehemu hazikuchukuliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mama mmoja aliyetembulika kwa jina la Martha Alphonce Haule mkazi wa Kata ya Nafulala, Sumbawanga mkoani Rukwa amejifungua watoto mapacha watatu na kuwapatia majina ya Halima Mdee (wa kike) pamoja...
18 Reactions
112 Replies
14K Views
Habari zenu wana JF Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza ninauitaji wa laini ya Voda yenye Huduma ya University Offer lakini mimi siyo mwana chuo pia kama itawezekana Ninayo laini ya Voda...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau, Kesho nasafari ndefu kidigo ya kuvuka mipaka na ntatumia private yangu. Je, nitahitajika kusafiri na documents zipi ili kuvuka na gari out of my passport? Bahati mbaya card original ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau sisikii habari zozote za uchaguzi huu. Mbona hauna msisimko tuliouzoea kwenye chaguzi ndogo kama hizi?. Ni kimya kabisa. Watu wako bize na mambo mengine .
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Ndg zangu wanajamvi nimekuwa nikiota mara nyingi nakimbizwa na kundi la nyuki baada ya hapo nashtuka na kuamka. Ndoto hii ina maana gani. Asanteni sana
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana tulikuwa nao katika viwanja vya meisala ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za sherehe za mapinduzi. Wasanii wengine kutoka bara walioshiriki ni pamoja na Dogo janja na Sheta. Mapinduzi daima!
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii ni picha ya Wolves kuna kitu cha kujifunza hapa 1. Kundi la kwanza la Wolves ni wale ambao ni wazee na wagonjwa hawa hutangulizwa mbele katika jamii ya wolves kama ikitokea chochote waweze...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanini taasisi nyingi za serikali hazitumii efd kama wafanya biashara wanapotoa risiti? Mfano; unaweza kwenda idara ya maji, mtu ukalipia kila kitu lakini mwisho unapewa risiti ya kuandika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma. Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha...
13 Reactions
615 Replies
126K Views
Habari JF, Kufuatia kauli Tata ya raisi wa marekani juu ya kupokea wahamiaji toka kwenye nchi alizo ziita "shithole" countries kumekuwa na midahalo na maoni tofauti . Miongoni mwa uchambuzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wana JF. Leo Nimepata Wazo Nkaona niweze Ku share na nyinyi mnisaidie kushare pia mawazo, Nina pendekezo kuwa endapo sheria ya uchaguzi itafanyiwa marekebisho na kuweka...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali Haina Budi Kubana Biashara zote za Udalali; =Udalali Wa Nyumba Za Kupanga, =Udalali Wa Mazao Ya Mashamba, =Udalali Wa Madini; Nk. Hapa Mamilioni Ya Kodi Yanapotea Kwa Uholela Wa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbona hampatikani toka juzi, kwenye 87.9?
0 Reactions
39 Replies
11K Views
wale wanajiita mafia bongo cheki hii
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukisoma nadharia,aina na kazi za vyombo vya habari,kama magazeti ya Tanzania Daima,Mwanahalisi,na Mawio yangekuwepo hili suala la Lowasa kwenda Ikulu kuzungumza na Mh Rais John Magufuli lingekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom