Naomba ufafanuzi juu ya Mambo haya Muhimu Wadau

PharmD

New Member
Dec 18, 2017
3
4
1. Mwishoni mwa mwaka jana serikali kupitia TCRA ilitangaza kupungua kwa gharama za mawasiliano toka tarehe 1 mwk huu. Binafsi nilitegemea mabadiliko kwenye bei za vifurushi but sijaona hvyo. Naomba anaelewa anipe ufafanuzi
2. Serikali ilitangaza free to Air channels nakuzitaja decoder mbalimbali kutekeleza agizo hilo lakini Azam hawakutajwa. Naomba ufafanuz kwa anaelielewa hili pia
 
Back
Top Bottom