Mark Dice: Tanzania and Rwanda are SH*THOLE contries

Mark Dice: Tanzania and Rwanda are SH*THOLE contries

Munru

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
1,340
Reaction score
667


Habari JF,

Kufuatia kauli Tata ya raisi wa marekani juu ya kupokea wahamiaji toka kwenye nchi alizo ziita "shithole" countries kumekuwa na midahalo na maoni tofauti .

Miongoni mwa uchambuzi amabao una endelea ku trend juu ya Kauli hii ni huu ambao umefanywa na Mwana YouTube maarufu na mchambuzi wa siasa za marekan mark Dice ambapo katika uchambuzi wake amezitajja moja kwa moja nchi za Tanzania na Rwanda kama Shithole countries .

Mwana jamvi mwenzangu una maoni gani?
 
Trump yupo sahihi viongozi wengi wa Afrika wanafatilia mambo ya kijinga na kutafuta kiki kila kukicha huku wakiacha mambo ya msingi kabisa...
 
Mwe! Mwe! Mweeee! Kumbe ndiyo maana yake? Magufuli chukua hatua kwa huyu jamaa wala usimfumbie macho.
 
Tutatukanwa sana kama serikali zetu zitaendelea kutumia pesa nyingi kwenye siasa na kulinda maslahi ya watawala badala ya kujenga uchumi na mipango yenye manufaa kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom