Naenda Uganda then Kenya na private car nahitaji documents zipi kuvuka border?

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Posts
1,128
Reaction score
1,497
Wadau,

Kesho nasafari ndefu kidigo ya kuvuka mipaka na ntatumia private yangu. Je, nitahitajika kusafiri na documents zipi ili kuvuka na gari out of my passport?

Bahati mbaya card original ya gari nimeiacha Nchi Fulani ila Nina card ya copy yenye stika za TRA.

Je, kwa driving license ya TRA itakubalika Eastern Africa?

Msaada naombeni.....
 
Cha msingi uwe na kadi original ya gari lako kama huna aandaa hata barua itayoelezea uwepo wa kadi original kama ni benk i au vipi au sababu nyingine itakayowaridhisha TRA wakupe export permit

Pili ni insurance ya hizo nchi unakoelekea, hii unaweza kupata hapo mpakani
 
Insurance ni Ush au Ksh ngapi? Gari yangu ina insurance pia ila ni ya TZ
 
so sad watu hawatoi ushirikiano. Mkuu, sina info sana kwenye upande wa east africa, ila chukua document zote ikiwamo passport yako, kadi ya gari na document nyingine kama vitambulisho etc. Ukiwa border, utatakiwa kukata temporary insurance ili ku-cover the unforeseen huko uendako. (Ingawa utaratibu unatofautiana nchi na nchi). Utapewa kibali cha ku-cross border baada ya kulipa ushuru wao na baada ya ukaguzi wa gari lako. kwa Uganda, hawana urasimu...sijui kenya kukoje...! The other thing, kumbuka kufanyia services gari lako na kutengeneza pale penye mshikeli, kwa usalama wako mwenyewe na wale uwapendao. All in all, bon voyage
 
85317a348164d2a3aa729a60fb4cedcd.jpg

Mkuu Mimi nilienda wa 8 2017 kwa pc nilikuwa na yello card, passport, driving licence,( kama una international driving licence beba pia) national identity...nilipitia boda ya mtukula baada ya kufanya registration zangu pale nkaruhusiwa ...

Basi Uganda hata ukimbie spid ngap hawakamati cjui waliniona mrembo hahaha, in short trafik wa kule hawana usumbufu.....ila ukiingia kwenye 18 zao aloo million itakutoka,,, usisahau driving licence

Cha mwisho kaka angu " ukimwi Uganda"...
 
Pamoja mkuu asante sana
 
Asante sana wangu. Tupo pamoja mremboo
 
Back
Top Bottom