Kwanini baadhi za taasisi za serikali hazina mashine za efd?

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
925
548
Kwanini taasisi nyingi za serikali hazitumii efd kama wafanya biashara wanapotoa risiti?

Mfano; unaweza kwenda idara ya maji, mtu ukalipia kila kitu lakini mwisho unapewa risiti ya kuandika.

Kwanini serikali haiwi mfano kwa watu wake kuagiza taasisi zake kutoa risiti za efd?

Hivi hawa wahasibu hawatuchakachui kweli na risiti zao za kuandika?
 
Hapana ina mantiki mno kwani itakuwa rahisi kurahisisha utambuzi wa kiasi gani kimeingia, kufatilia madeni n.k coz mtu anaweza letewa bill mara mbili angali ya kwanza amesalipa.
Au wakachanganya taarifa na kuweka kwa mtu ambaye si sahihi wakati wa uhakiki wao
 
Back
Top Bottom